Jukwaa la Historia

On JF:

Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani. Iddi Amini...
6 Reactions
53 Replies
8K Views
(MAZINGE WA INDIA) Dr. Zakir Naik Dr. Zakir Naik kwa wale watazamaji wa TV iitwayo Peace Tv inayo endesha vipindi vya dini sio sura ngeni kwa mtaalamu huyu. Dr. Naik ni mwanaharakati wa dini...
9 Reactions
25 Replies
6K Views
3 Karimjee Jivanjee & Co in Tanzania, 1860–2000: A case for ‘diasporic family firms’1 Gijsbert Oonk Erasmus University Rotterdam Oonk@eshcc.eur.nl To be published in Ute Röschenthaler and...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
SAYYID SALIM OMAR L’ATTAS Nina kawaida kila ninapopata taarifa za historia za watu ambao jamaa zao wapo hai huwa nawapelekea ili ikiwa wana jambo ambalo mimi silijui wapate kunifahamisha na hii...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Azarel kaandika maneno hayo hapo chini: "Nyerere alikuwa mwerevu na mwenye uwezo mkubwa wa kuongoza. Aliwafumbua macho wacheza bao, wale wavaa kobasi waliokuwa na Ilmu Akhera tu." Azarel (JForum)...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Kikosi cha kumlinda rais Marekani , kupendekeza msafara wa huyu jamaa uwe kwenye gari ya limousine convertible kuliyagharimu maisha yake. Natumaini vitengo vya ulinzi wa rais duniani kote...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Moja ya mambo makubwa niliyojifunza Ughaibuni ni namna wenzetu (hasa weupe) wanavyothamini mambo yao ya kale. Na tunaposema “kuhifadhi” si tu watu maarufu au kadhia fulani za kiserikali. Zamani...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
KHITMA YA SAIGON CLUB YA IDDI SIMBA MSIKITI WA MTORO Msikiti wa Mtoro kwa baadhi yetu tuliokulia Dar es Salaam unatukumbusha wengi katika wapendwa wetu ambao wametangulia mbele ya haki. Binafsi...
13 Reactions
97 Replies
13K Views
Ni kwamba Marehemu Satta,wazazi wake wana asili ya Tabora inaposemekana pia hadi leo pana hotel iitwayo Satta na ndugu zake wengine wapo huko.Inadaiwa hivyo jameni. Alizaliwa 1937 lakini critics...
0 Reactions
53 Replies
12K Views
MAKARATASI YA "UCHOCHEZI" DHIDI YA SERIKALI SEHEMU YA KWANZA Wakati natafiti kitabu cha Abdul Sykes nilipata taarifa za kachero Amiri Kweyamba kutoka kwa kinywa cha Ally Sykes. Ikatokea nikaja...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika mambo ambayo mpaka leo yameshindwa kujulikana, ni nani allitengeza sarafu ya Bitcoin ambaye alijipachika jina la Satoshi Nakamoto. Watu wengi wamekuwa wakihisiwa lakini mwisho inagundulika...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
MAKARATASI YA "UCHOCHEZI" DHIDI YA SERIKALI SEHEMU YA PILI NA YA MWISHO Wakati Ally Sykes yuko ndani nyumbani kwake Mtaa wa Kipata anachapa mikaratasi yake ya "kuchochea," wananchi kujiunga na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MARA YANGU YA KWANZA KUMTIA MACHONI IDDI SIMBA 1980s Ilikuwa miaka ya 1980 tuko nyumbani kwa marehemu Bi. Mruguru bint Mussa, mama yake Ally Sykes Mtaa wa Lindi. Pametokea msiba Bi. Mariamu...
11 Reactions
53 Replies
11K Views
Serikali ya Mkoa wa Singida imefanya uamuzi wa kubadili jina la uwanja wa mpira wa MAMFUA STADIUM na sasa umepewa jina la LITTI STADIUM ikiwa ni hatua muhimu za kumuenzi mwanamke shujaa wa Singida...
13 Reactions
37 Replies
8K Views
Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu. Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
NIMEULIZWA KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA NA UVUTAJI SIGARA, KUSUDIO NINI? Mtoto... Nimekutana na picha za vitu vya zamani hapa mtandaoni vitu ambavyo vimenikumbusha historia niijuayo katika...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
KISA CHA ZAHAKI RASHID: KUTOKA MAUAJI YA MWEMBECHAI 1998 HADI MAUAJI YA STAKISHARI 2015 Zahaki Rashidi Ndugu msomaji, Ili uweze kufaidikia na kisa cha Zahaki Rashid ni muhimu kwanza...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Anaitwa Annora Petrova, alizaliwa Mei 5, 1991 mjini Portland, Oregon US, alikuwa ni mchezaji maarufu wa mchezo wa 'skating' kutoka US tangu akiwa bado binti mdogo tuu. Mchezo huu unaochezwa zaidi...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari binafsi Tufuatane hapa chini Aliingia Kyoto mwaka 1579 mamia walikusanyika kumuona mtu wa kwanza mweusi kuingia mjini hapo. Kiongozi wa mji aliamuru aoshwe kwa kile alichoamini kuwa ile...
10 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom