Ibrahim Kaduma akizungumza katika kongamano la Mwalimu Nyerere
Mwalimu Nyerere Memorial Academy
Mwalimu Nyerere Memorial Academy zamani ikijulikana kama Chuo Cha Kivukoni jana tarehe 13 April...
Dale Carnegie aliwahi kusema kuwa *“If you want to Conquer Fear, Don’t Stay Home and Think About It, Go out and Get Busy* (Ukitaka kuishinda Hofu usikae nyumbani na kuendelea kuitafakari, toka na...
JAMES BRENNAN NA MAPENZI YAKE NA HISTORIA YA TANZANIA
“The Secret Lives of Dennis Phombeah: Decolonization, the Cold War, and African Political Intelligence, 1953–1974”
James R. Brennan...
WASIFU WA JULIUS NYERERE: SUALA LA KATIBA YA TANU NA BENDERA YA UINGEREZA KUPEPEA TANGANYIKA
Katika kitabu cha maisha ya Mwalimu Nyerere nimekutana na suala la bendera ya Muingereza, Union Jack...
Leo siku ya Eid El Fitr asubuhi nimejiinamia na mengi katika maisha yangu ya utoto yakanijia nikikumbuka ilivyokuwa asubuhi ya Eid wakati wetu.
Nimemkumbuka kinyozi wetu jina lake Muingereza...
Historia ya vita ya Majimaji imekuwa ikielezwa kwa namna mbalimbali. Kila mmoja anasimulia kwa namna alivyosikia. Wananchi wengi wa ukanda wa kusini walikimbia vita na kuishi sehemu tofauti...
Uchaguzi wa Urais Zanzibar uko njiani unakuja.
Historia ya uchaguzi visiwani inazidi kupambika na kuwa ya kugusa hisia ya kila mwanafunzi wa somo la historia ya siasa za Zanzibar na Afrika.
Dkt...
MAZUNGUMZO NA MAGGID MJENGWA WASIFU WA JULIUS NYERERE: MAMA SAKINA BI CHIKU BINT SAID KISUSA WANAWAKE KUTOKA UANI HADI UWANJANI MNAZI MMOJA KUDAI UHURU
Mara ya mwisho kumuona Mama Sakina, yaani...
Moyo wangu umejawa na simanzi, macho yamefunga kwa huzuni, uso umesawajika kwa haya ninayoyasoma yaliyotendwa na binadamu kwa binadamu wenzao.
Romeo Dallaire ameelezea mambo kwa mtazamo wake...
Ndugu Wana Jamii Forum, Humu Ndani Tume Bahatika Kuwa Na Mdau Echolima, Alishiliki Vita Ya Uganda, Kama Unaswali Tunaweza Tukamuuliza, Kama Unajibu Bara~bara Zaidi Unaweza Ukamsaidia Pia Kujibu...
ASILI YA JINA TANGANYIKA.
Leo 20:30pm 15/06/2020
Ni furaha yetu sote kuwa tuliobarikiwa kuishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Sisi wananchi wengi na raia wa nchi hii tumeishi zaidi...
Due to the nature of the Transatlantic Slave Trade and the practices of American slave owners, enslaved Africans brought to the U.S. lost much of their connection to the West African cultures from...
Burundi nchi ndogo iliopo katika Ukanda wa Afrika Mashariki, ilikaliwa na wakoloni wa Kibeligiji na kujikuta ikipita kwenye jangwa la harubu na misukosuko mingi ikiwamo ya umwagaji wa damu...
Na ,
Mwanshinga Jr.
Wasafwa ni kabila toka jamii ya wabantu wanaozungumza lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na kibantu yaani lugha ya kisafwa.
Kwanza tuangalie nini au chanzo cha neno Safwa...
KWENYE PICHA
Kwenye picha hii kuna watu Wanne.
Hao wanaume Weusi
Mmoja ni Susi
Na mwingine ni Chuma Wakiwa Nchini Uingereza Kwenye Mazishi.
Chuma na Susi ndio Waafrika Pekee waliobeba Mwili wa...
JULIUS NYERERE ALIPOSIMAMA JUKWAANI KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1955
Nimezungumza na Maggid Mjengwa kuhusu historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama ilivyoandikwa.
Hebu...
PICHA MBILI ZA WAASISI 17 WA TANU MWAKA WA 1954
Kuna picha mbili za waasisi 17 wa chama cha TANU tarehe 17 Julai 1954.
Picha ya kwanza ambao hawaonekani katika picha ni ni Ally Sykes, Tewa Said...
Historia imehukumu.ikiwa imepita miaka takribani 16 hivi! WAZEE ,KINA MAMA NA VIJANA,WAMKUMBUKA NALAILA KIULA JIMBONI IRAMBA MAGHARIBI.
Wewe kijana sijui kama ulikuwa umezaliwa,tulikuwa na...
hebu tujadili hili kidogo kwanini nchi nyingi za kiafrika kiongozi akishapewa mamlaka makubwa anajikuta yeye ndio ana akili nyingi na uelewa mpana kuliko yoyote je hiyi hali inatokana na nini? na...
Mzee Popo au Baba Popo wa Isevya Mtaa wa Kanoni ndiyo babu yangu mzaa baba.
Jina lake ni Salum Abdallah ingawa jina lake alilopewa na baba yake ni Rashid.
Alibadilisha jina baada ya kufungwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.