Jukwaa la Historia

On JF:

Makala: Haile Selassie, ‘Masiha’ Aliyeuawa na Kutupwa Chooni, Kutukuzwa na Kupingwa 6 hours ago [https://4] Machi Mosi 1896, Kibanga alimshushia mkoloni kipigo cha mbwa koko katika ardhi ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hastings Kamuzu Banda Joyce Banda Wiki iliyopita nilijaribu kuwapa historia fupi ya Rais wa kwanza wa Malawi Mh Kamuzu Banda. Leo ninataka niwapitishe kidogo kwenye historia ya Joyce Banda moja...
6 Reactions
9 Replies
6K Views
Kwa mara ya kwanza picha hii ilionekana Indiana US augost 5, 1948 ikionyesha kuna watoto wanne wamekaa mbele ya bango lenye maandishi '4 children for sale' yaani 'watoto wanne wanauzwa' na pembeni...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Bacon ni nyama iliyowekwa chumvi, mara nyingi nyama hii hutoka tumboni au mgongoni mwa nguruwe. Huliwa kama chakula cha nyongeza hasa katika kifungua kinywa Utaratibu wa kuhufadhi nyama hasa ya...
6 Reactions
21 Replies
6K Views
MOJA YA PICHA ADIMU ZA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Iko siku miaka michache iliyopita nilikwenda kumtembelea nyumbani kwake Magomeni Mikumi Kisiwani, rafiki yangu toka udogoni...
10 Reactions
10 Replies
3K Views
WASIFU WA JULIUS NYERERE: COMBINED DANCING CLUB TABORA 1945 Katika Wasifu wa Julius Nyerere mwandishi kaeleza uhusiano wa Mwalimu Nyerere na Maulidi Kivuruga mmoja wa wanachama wa Combined Club...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
MASIJALA YA KITUME YA VATIKANI - Vatican Apostle Archive. Imekuwepo zaidi ya karne 3 sasa, ni KIINI cha SIRI za Kanisa KATOLIKI Duniani. Mwanzoni iliitwa MASIJALA YA SIRI ikabadilishwa jina...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kabla ya Mwaka 1920 Hakukuweko na nchi ikiitwa Tanganyika Kwa kuwa chini ya utawala wa Kijerumani Tanzania Bara iliitwa Deustche Ost-Afrika, ilikuwa lazima Waingereza kutafuta jina lingine mara...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
VIPI ILIUNDWA TANU NA NANI WALIUNDA TANU 1954? Nimeulizwa swali hilo hapo juu katika group moja. Swali nimelifanyia uhariri kidogo ili mada ikae vyema. Jibu la swali hili ni hili hapa chini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika Maisha Kuna Milima Mabonde, Na Yote Tumeumbiwa Binaadamu Hatuna Budi Kuyavuka. Kwenye Maisha Feli,Kosea, Anguka Mara 100 Ili Ufaulu Mara Moja Ben Carson Alibaguliwa Sana Kutokana Na Rangi...
4 Reactions
10 Replies
8K Views
Waliokuwepo au wanaofuatilia siasa hebu tupeni utamu zaidi nini unajua au kukumbuka kuhusu hii kitu
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Wakuu habari za mchana, naomba anayejua kuhusu hii marshal plan ya US baada ya vita kuu ya pili ya dunia ilikuwa ni nini haswa, anisaidie, ikiwezekana kwa Kiswahili nitashukuru sana.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Miaka ya 1990 mchoraji maarufu mwanamama Laura P raia wa US aliichukua picha orijino iliyopigwa na mpiga picha James Kidd katika mashindano ya kukimbiza farasi huko Tombstones, Arizona US na kisha...
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Majanga yanaanzia Septemba 23, 1955, ambapo James Dean raia wa Los Angeles US alinunua gari yake ya michezo aina ya Porsche 550 kwa muuzaji George Barris na akaenda kuiboresha zaidi ionekane vile...
14 Reactions
17 Replies
4K Views
KWENYE PICHA Kwenye picha hii kuna watu Wanne. Hao wanaume Weusi Mmoja ni Susi Na mwingine ni Chuma Wakiwa Nchini Uingereza Kwenye Mazishi. Chuma na Susi ndio Waafrika Pekee waliobeba Mwili wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtawala wa Saadani, Alitawala chini ya Sultani wa Zanzibar kama mkubwa wake lakini akafaulu kutetea nafasi yake kama sultani aliejitegemea. Mwaka 1882 aliweza kushinda jeshi la Sultani Sayyid...
5 Reactions
17 Replies
10K Views
Umuofia kwenu! Naomba kujuzwa machache kuhusu Taifa hili, linaloongozwa na Mfalme Mswati (kwa sasa). Kijiografia limezungukwa (limemezwa) na nchi ya Africa Kusini, machache kati ya mengi ni kama...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
THE 1966 CRISS; TO ATTACK THE MENGO KABAKA'S PALACE ON MAY 24th 1966 By Comred Mbwana Allyamtu mbwanaallyamtu990@gmail.com At the time of the attack, Sir Edward Muteesa, the then 35th Kabaka of...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
HOTUBA YA RAIS WA TANGANYIKA JULIUS NYERERE BUNGENI 10 DESEMBA 1962 WAKATI TANGANYIKA INAKUWA JAMUHURI ‘’Hakuna njia nyepesi ya kuondoa tafauti baina ya raia wetu Waafrika na wasio Waafrika...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani. Iddi Amini...
6 Reactions
53 Replies
8K Views
Back
Top Bottom