Habari binafsi
Tufuatane hapa chini
Aliingia Kyoto mwaka 1579 mamia walikusanyika kumuona mtu wa kwanza mweusi kuingia mjini hapo. Kiongozi wa mji aliamuru aoshwe kwa kile alichoamini kuwa ile...
KAMA NILIVYOWAONA KATIKA UTAFITI WA HISTORIA YA TANGANYIKA
BARAZA LA MAWAZIRI WA TANGANYIKA 1963
Julius K. Nyerere, 41 years old, President
Rashidi Mfaume Kawawa, 34 years old, Vice-President...
Leo katika Historia
siku kama ya leo ambayo ilikuwa tarehe 2 May,1980 takribani miaka 40 iliyopita kiongozi mkuu wa kanisa katoriki duniani pope John paul wa pili alifanya Ziara ya kikazi nchini...
EVERTON FOOTBALL CLUB MTAA WA NARUNG'OMBE, 1966
Mwaka wa 1966 wastani wa umri takriban sote tuliokuwa Everton ni miaka 15/16.
Kulikuwa na wenzetu mimi sina taarifa zao kabisa na kwa hakika huwa...
JUMA VOLTER MWAPACHU ANAKUMBUKA MAZUNGUMZO KATI YA BABA YAKE HAMZA KIBWANA MWAPACHU NA ABDULWAHID KLEIST SYKES NANSIO UKEREWE 1953
''I still recall the visit vividly. I was a standard three pupil...
Poleni na Majukumu ya Leo wana JF.
Naomba kujua niongeze maarifa.
Nchi yetu sehemu mbalimbali za mitaa na barabara ziko na majina ya viongozi nguli mfano Kenyatta Road. Nkrumah. Mandela, Obama...
Kwa miaka mingi sana idara ya zimamoto mjini Chicago US inafuatilia alama ya mkono isiyofutika iliyobaki ukutani katika ukumbi mmoja ulioungua moto, licha ya alama hii kufutwa sana ukutani hapo...
Congo ya ubelgiji ilipopata uhuru wake mwaka 1960,nchi ilijikuta kwa haraka sana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe Mamia ya wazungu waliokuwepo huko waliwekwa kizuizini kama mateka, Belgium...
Ukipita Tanzania unakutana na barabara na mitaa zikiwa na majina ya magwiji kibao wa Afrika. Si nadra kukuta majina kama Kenyatta rd, Rwagasore, Mandela, Azikiwe, Nyerere, Nkurumah nk .
Kitu cha...
Western Reactions To Benin Bronzes
This Video Shows ANOTHER INCREDIBLE CIVILIZATION On The Continent Of Mother Africa. BEFORE The Neanderthal Demonic Beasts Created THE GUN. It Was Their Guns...
Ndugu zangu,
Ni kweli historia ndio mhimili wa usuli wa taifa lolote. Tumesoma na kufunzwa mengi kuhusu, Nyerere, lakini pia tumechokonoa mengi kuhusu Kambona. Je, hivi leo, najiuliza, kama...
KUMBUKUMBU: ALLY SYKES (1926 - 2013) MWANA SAIGON
KASOMEWA KHITMA AKIWA BAHARINI ANAELEKEA VITANI BURMA
Leo imetimu miaka saba toka mzee wetu Bwana Aly Sykes alipofariki tarehe 19 May 2013 mjini...
Josiah Mwangi Kariuki, almaarufu kama J.M Kariuki. Mwanaharakati na mwanasiasa na maarufu, aliyekaa gerezani kama mwanachama wa Mau Mau, kundi ambalo lilikuwa limepigania uhuru wa Kenya mnamo...
Morning friends!
Basi, mwaka mmoja Mwalimu alifanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara. Jioni ya siku ya kwanza baada ya shughuli za mchana kutwa akarudi kupumzika pale Shangani, Ikulu...
Mchezo wa Masubwi (ndondi) ni moja kati ya michezo mikubwa na yenye umaarufu mkubwa dunia kote, lakini mchezo huu ni marufuku kuchezwa katika visiwani Zanzibar.
Je ni kwanini? mchezo huu...
Mimi ni mkazi, mzaliwa na mwenyeji wa mkoa wa Tabora kutokea sehemu za Igalula
Mkoani kwetu kuna hili jina la RUFITA:
Jina hili limedhihiri katika maeneo/vitu vitatu kwa miaka mingi sana. Kuna...
Mchawi mpatie mwanao amlee, kauli ina ukakasi hii. Ndio hatomuua, lakini je akimfundisha uchawi mtoto huyo na kuja kuwa balaa kwenye nyumba yako?. Kuna wachawi wameokoa watu na kupata tuzo...
MUSA KWIKIMA NA UJAJI WA MAHAKAMA KUU KWA MARA YA PILI 1983
Marehemu Musa Kwikima aliapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu baada ya kutolewa kwenye nafasi hiyo na Mwalimu Julius Nyerere mwaka wa...
Habari zenu wana JamiiForums,
Kama tunavojua leo ni siku ya maadhimisho ya sherehe za muungano wa Tanzania.
Muungano huu unajumuisha pande mbili ambazo ni Zanzibar na Tanganyika.
Vijana wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.