Iddi Amin kiongozi bora kuwahi kutokea Afrika

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya

Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani. Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano Ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi kuna upuuzi tusingeuona.

Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihirisha pichani. Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa

Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua jambo.

FB_IMG_15861812203425236.jpeg
 
Kwahiyo uzuri wake uko hapo tu kwenye kuwatawala wazungu? Kwamba yale tunayoyasikia kuwa alikuwa anatesa watu na kuwaua kisha kuamuru wakatupwe mto kagera ni ya uongo?
 
Kwamba na wewe umesimuliwa habari Za Iddi Amin na umekuja na andiko na kuhitimisha kwamba Uganda ingekuwa ni zaidi ya USA?

Kama alipigwa na TZ akiwa na sapoti ya Ghadafi basi alikua goigoi sana na Hakua mwepesi kujua nini kitatokea kesho kwa matendo yake ya Leo.

Kwamba wakati wa Amin Uganda iliendelea Sana? Kuna shida kwenye kuchanganua mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hats wewe hujaijua Vita ya kagera kiundani Kuna vitu vingi hujavijua kuhusu Vita ya kagera na hukujuw kwanini hasa Vita ilipiganwa chanzo pia halisi hukijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iddi amin Dadah + Muamar Gadafii = Mashetani waafrica
Hamna kiongozi mzuri anaua hadi member wa familia yake
Mtu anaua rai laki 5 mpuuzi moja ana msifu?

Ndio maana Mimi na kubali watu type ya JK, Mohammad Jibril,Kenyata
Zuma
Siasa ni ustarabuuu
Mabaya ya nyerere unayajuwa? Narudi kwenye mada yangu kuwa iddi kaandikwa upande mmoja hata nyerere kaandikwa upande mmoja jaribu kufuatilia visa vya akina Bibi titi na kambona utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda huwa nawaza kuhusu Iddi Amin nikagundua alikuwa kiongozi mzuri aliyeandikwa vibaya

Iddi Amini angekuwa hai pengine Uganda ingekuwa na maendeleo kupita hata Marekani.

Iddi Amini hakupenda kutawaliwa kipuuzi kama wanavyokubali viongozi wa sasa wa kiafrika huwa nawaza mfano ghadaf na amini wangekuwa bado viongozi Kuna upuuzi tusingeuona

Baadhi ya kauli za iddi amini "Africa inaweza kuwatawala wazungu" na imejidhihilusha pichani.

Nimemsoma nimegundua alifanya mazuri mengi hayajaandikwa

Ushauri wangu kamsome Iddi Amin vizuri utagundua Jambo

View attachment 1410514

Sent using Jamii Forums mobile app

Rubbish and childish comment
 
Inaonekana ulikuwa hujazaliwa kipindi hicho; la sivyo usingesema hivyo.
 
Mabaya ya nyerere unayajuwa? Narudi kwenye mada yangu kuwa iddi kaandikwa upande mmoja hata nyerere kaandikwa upande mmoja jaribu kufuatilia visa vya akina Bibi titi na kambona utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabaya ya nyerere hayamfanyi IDD awe mwema IDD alivuruga Nchi na yeye mwenyewe alitubu na alienda kuhijji maka x50 ili awe guru

Sasa wewe unachokitetea kipi?
 
Back
Top Bottom