Jukwaa la Historia

On JF:

TIMU YA TANGANYIKA GOSSAGE CUP 1961 Majina ya wachezaji wote na maelezo ya ziada kayatoa John Limo baada ya kumfikishia hii picha. Tumshukuru kwa kutufanyia hisani hii: Kutoka kushoto: Henrick...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953 Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97. Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Mpaka mtoto afikishe miaka miwili + ndiyo anaweza kutambua kuwa anahitaji haja kubwa au ndogo hapa ndipo anafundishwa kujistiri. Enzi tuna vaa magome ya miti watoto walitunzwaje ili kinyesi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
+ Katika Vitabu maarufu vya historia vinavyotolewa na "UNESCO World Heritage" kuna Makala ambazo huwa zinahusu orodha ya miji mikongwe ambayo mpaka leo inakaliwa na watu (List of oldest...
7 Reactions
27 Replies
5K Views
Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London. Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Salute wakuu, Kuna muda huwa nakaa najiuliza kama wazungu (wakoloni) wasinge tutawala Afrika tungekuwa wapi leo na uchumi wengi ungekuaje ukilinganisha na maisha mengine kama India, Amerika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais. Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi...
6 Reactions
15 Replies
5K Views
Baada ya kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanganyika na pia Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) tarehe 14 Oktoba 1999 mengi yamesemwa na kuandikwa kuhusu...
13 Reactions
263 Replies
73K Views
Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko. Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi...
15 Reactions
81 Replies
11K Views
KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980 Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa...
5 Reactions
33 Replies
6K Views
H Kumbukumbu ya wapagazi Waingereza kwenye Sanamu ya Askari, Dar es Salaam. Wapagazi Waafrika upande wa jeshi la Kijerumani Kikosi cha wapagazi (ing . Carrier Corps ) kilikuwa kitengo cha jeshi...
4 Reactions
3 Replies
8K Views
SALIM HIMIDI (1945 – 2020): JAHAZI LILILOZAMA NA SHEHENA YAKE YOTE YA VITO VYA THAMANI KUBWA Nimemfahamu Salim Himidi kiasi cha miaka 20 iliyopita kupitia kwa rafiki na ndugu yangu Mohamed...
10 Reactions
5 Replies
4K Views
David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart...
6 Reactions
21 Replies
6K Views
Boys were taught how to kiss a girl. Hili somo lirudiwe kufundishwa huenda tukapunguza idadi ya ndoa za jinsia moja.
3 Reactions
7 Replies
1K Views
On 6 July 1535 , Thomas More was led from the Bell Tower up to the scaffold on Tower Hill. He appeared calm and in good humour, and even share a joke with the officer who assisted him onto the...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Nimekuta mjadala mahali fulani juu ya nchi inayoitwa Wadiya. Nimejaribu kufuatilia katika vyanzo mbalimbali mitandaoni, baadhi vinaitaja Wadiya kama Eritrea ya sasa na vyanzo vingine vinaitaja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ilikua mwaka 1895
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Na, H. J. Mahenga, alias, Uncle Kaso Usiku wa kuamkia tarehe 20 ya Januari ya mwaka 1964, yalitokea mauaji ya Mwarabu mmoja pale Magomeni aliyekuwa na duka, aliyepigwa risasi na wanaodaiwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
MICHAEL GRZIMEK Mjerumani mtengeneza filamu za wanyama aliekufa kwa kuanguka na ndege Ngorongoro kreta baada ya ndege yake kugongana na ndege wa porini aina ya tai(vulture). Michael Grzimek...
16 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom