Jukwaa la Historia

On JF:

Watu walikuwa smart na wababe, mtu anayeogopwa na Rais na vyombo vyote vya dola huyo sio wa mchezomchezo. Umewahi kuwaza ni namna gani vitengo vya usalama vinamtambua mtu kwa kutumia alama za...
8 Reactions
27 Replies
5K Views
SIKU MWALIMU NYERERE ALIPOTOA HOTUBA YAKE YA KUWAAGA WATANZANIA YA NOVEMBA 5 MWAKA,1985 WAKATI ANASTAAFU URAIS KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM. ‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na...
14 Reactions
18 Replies
2K Views
MASAHIHISHO PICHA TAWI LA TANU: DUA NYUMBANI KWA ALI MSHAM SAFARI YA UNO 1955 Hapo chini ni picha ya Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa nyumbani kwa Ali Msham ambako alifungua tawi la TANU mwaka wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MAENEO 15 YA KIHISTORIA YENYE KUVUTIA JIJINI KINSHASA. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Saturday-10/07/2021. Marangu, Kilimanjaro, Tanzania Yafuatayo ni maeneo 15 ambayo ni alama ya jiji la...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Historia ya jina la Kariakoo na soko la Kariakoo inaanzia tangu enzi za ukoloni wa Mjerumani wakati Tanzania Bara ikiitwa Tanganyika. Mahala lilipo soko hilo palijengwa jengo la utawala wa...
2 Reactions
13 Replies
11K Views
WALIFIKAJE TAREHE 7 JULAI 1954 NA KUUNDA TANU NA TUNAWAADHIMISHAJE WAZALENDO HAWA? Kuna mtaa Dar es Salaam sisi tulimezaliwa tumeukuta ukiitwa Stanley Street. Baada ya kupatikana uhuru mtaa huu...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Ili kabila linalotambulika kama mashujaa wa kuua Simba ili uonekane kidume cha mbegu. Kabila ambalo kabla ya kujigeuza kuwa walinzi na wasusi mjini kila mtu alikuwa akiowagopa kutokana na tabia...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
INAKUWAJE MTU KWA VIGEZO VYOTE NI MWENYE AKILI ZA ZIADA KUMBE MJINGA? Toka udogo wangu nikipenda senema. Baba alikuwa na "prejector" nyumbani lakini ni ile "silent," haitoi sauti na filamu zake...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Jina lake ni Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, mtoto wa Chifu Munyigumba. Ukitaka kumzungumzia wala usizunguke sana, sema tu Chifu Mkwawa inatosha. Kwa nini aliitwa Mkwawa? Hilo linatokana...
11 Reactions
24 Replies
4K Views
Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu! Leo jioni katika makaburi ya Kisutu tumemzika Wendo Mwapachu. Nimemjua Wendo kwa kujulishwa kwake na Ted kama tulivyozoea kumwita. Ted sasa hivi Chief Edward...
8 Reactions
71 Replies
11K Views
HIVI NDIVYO MTAKI MSALITI ALIVYOUDONDOSHA UTAWALA WA CHIFU MKWAWA Jina lake ni Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga, mtoto wa Chifu Munyigumba. Ukitaka kumzungumzia wala usizunguke sana, sema...
5 Reactions
12 Replies
6K Views
HIVI NDIVYO ALIVYOKUWA SHEIKH AHMED HAIDAR Picha inasema maneno elfu moja. Jicho la camera halisahau kile jicho la binadamu liliona. Angalia picha hiyo hapo chini Sheikh Ahmed Haidar amekaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Nashukuru nimemwona Abdul Sykes vizuri katika picha hizi. Sikubahatika kumuona akiwa hai alikuwa na ukaribu sana na baba yetu mdogo Mzee Mrisho kuliko ndugu zake. Wao walizoeana sana kila...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mohamed Said anaeleza historia fupi ya Balozi Abbas Sykes: 1: 18
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SIKU YANGU NA ALQUAM KIOBYA MJUKUU WA SAADAN ABDU KANDORO Alquam Kiobya ni kijana mdogo kama mnavyomuona. Huyu ni mjukuu wa Saadan Abdu Kandoro mmoja kati ya wazalendo 17 waliounda chama cha...
5 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarii wandugu, Poleni na majukumu ya mwanzoo wa wiki nimeonelea leo tuwakumbuke watu waliowahi kuwa makamu wa raisi wa Tanganyika 1962-1964 na baadae Tanzania 1964 mpaka sasaa. Wajuvii wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi wetu huamini sisi (Waafrika) ni dhaifu na bila mzungu tungekuwa bado tunavaa majani, binafsi sikubaliana na hili. Labda niwakumbushe, katika zama zote za binadamu wa kale alikuwa akipiga...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
1957 kabla ya kuunda chama cha ASP, Mwalimu Nyerere aliwasihi sana Waarabu Zanzibar wawaruhusu Waafrika kupiga kura, walipokataa aliwaonya kuwa that was the last chance. Usiku huohuo akaanza...
16 Reactions
135 Replies
21K Views
Back
Top Bottom