ABDULWAHID SYKES NA NDUGUZE HISTORIA ILIYOPOTEA
Gazeti Raia Mwema la Ijumaa tarehe 21 Mei, 2021lilichapa taazia ya Abbas Sykes kwa bahati mbaya wakaweka picha za kaka yake, Ally Sykes badala ya...
Ahmed Sultan Mugheiry
Dear Friends,
I have the pleasure to inform you that there will be another ZIRPP lecture this month at the Institute.
Chairperson: Prof. Abdul Sheriff;
Presenter: Mr...
MAZIKO YA ABDULWAHID SYKES 1968
Mazishi ya Abdulwahid Sykes yalifanyika siku ya Jumapili tarehe 13 Okrtoba, 1968.
Mazishi yake yalikuwa makubwa yasiyo kifani.
Ukitoa mazishi ya mwaka wa 1950 ya...
Habari wakubwa nilikuwa naomba mwenye picha za jiji la Dar es salaam miaka ya 1945 au 1950 nilijaribu kutafuta hapa JF niliona picha za miaka ya 1966 sasa naomba hasa za kariakoo Asanteni
PAULA PARK ALIPONZWA NA ALLY SYKES 1986
Hayo hapo chini kwa hakika ni ya kale na yanatufunza matatizo yaliyokuwapo katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Ally Sykes ameacha kumbukumbu...
BALOZI ABBAS SYKES ASOMEWA KHITMA ZANZIBAR
Ndugu, jamaa na marafiki wa Balozi Abbas Sykes jana walimsomea khitma Msikiti wa Makuti Kisiwandui.
Wanasiasa wanapenda sana pale wapouzungumza...
KUTOKA MAJILIS YA ABBAS SYKES
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka thelathini si CCM wala si rafiki yake mpenzi Julius Nyerere alikuwa anafahamu Dossa anaishi vipi na ana hali gani.
Rafiki zake...
May 10, 1775: Princess Caroline Matilda of Great Britain, Queen of Denmark and Norway, died of scarlet fever while in exile in Celle, Germany, aged only twenty-three years old.
She had been...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu.
Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali...
MENGI BWANA ABBAS ALINIELEZA NA MENGI BALOZI AMEINGIANAYO KABURINI HAKUNAMBIA
Tuko kwenye khitma ya Abbas Sykes Msikiti wa Makuti, Kisiwandui Zanzibar niko bega kwa bega na Sheikh Ibrahim Moeva...
MASHEIKH WA AFRIKA YA MASHARIKI WALIPOKUSANYIKA KUMUOMBEA DUA ABBAS SYKES
Nipo nyumbani baada ya Maghrib akaja Sheikh Mahdi kaniletea picha adhim kupita kiasi.
Sheikh Mahdi ni mtoto wa Sheikh...
Historia ya mji wa Tukuyu inaanzia enzi za Utawala wa Ujerumani nchini Tanganyika, Mji Mkuu wa utawala wa Ujerumani nchini Tanganyika ulikuwa ni Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani.
Ujerumani ili...
Hili ndio swali ambalo wengi hasa Watanzani huliliza mara kwa mara na ni swali ambalo popote ukijitambulisha kama mwenyeji wa Mafia basi aghalabu kwa mtu aliewahi kukifahamu kisiwa hiki kwa...
Alikuwa Waziri Mkuu wa Israel mwaka 2001. Amekuwa mahututi tangu mwaka 2006 kufuatia mfululizo wa matatizo ya kiharusi. Ariel Sharon alikuwa askari wa vita na baadae kuwa kiongozi wa nchi...
PICHANI; Hii ilikuwa harusi ya Oscar Kambona na mrembo Flora Moriyo aliyekuwa Miss Tanganyika Tarehe 19.11.1960.
Msimamizi wa harusi alikuwa Mwalimu na ilifungiwa London Uingereza,Kanisa la...
HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961.
Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11...
HAPA NDIPO ILIPOJADILIWA BARUA YA JULIUS NYERERE KUCHAGUA SIASA AU UALIMU
Hapo liliposimama jengo hilo ndipo ilipokuwa nyumba ya Clement Mohamed Mtamila katika miaka ya 1950 harakati za TANU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.