Naomba kufahamishwa kuhusu nchi ya Wadia

Eulers

Member
Sep 18, 2013
52
125
Nimekuta mjadala mahali fulani juu ya nchi inayoitwa Wadiya. Nimejaribu kufuatilia katika vyanzo mbalimbali mitandaoni, baadhi vinaitaja Wadiya kama Eritrea ya sasa na vyanzo vingine vinaitaja kama nchi ya kufikirika tu.

Kwa wenye ufahamu juu ya jambo hili, ukweli hasa ni upi juu ya nchi ya Wadiya na watawala wake kina "Aladeen"?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom