Hivi kuna haja ya kusoma masters na phd

Hivi kuna haja ya kusoma masters na phd

Kwema wakuu
Najifikiria kama kuna haja ili niende nikasome.Je itaniongezea chochote au nitulie tu na degree moja
Kwa tz naona kwa kipindi cha karibuni haina naama kwani humo ni kupata chawa na kunguni wala kwa kamba na wasioweza saidia taifa zaidi ya kuliangamiza tu🫠
 
Back
Top Bottom