Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mtu ukiwa na level three(3) ya VETA na huna cheti cha Form Four je unaweza kusoma hadi chuo kikuu Sent from my LGM-G600L using JamiiForums mobile app
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari za sahivi wana JamiiForums, Naomba kujua kama umesoma veta hadi level 3, sasa unataka kwenda diploma je unaweza pewa mkopo, na kwa njia zipi? Msaada tafadhali
1 Reactions
0 Replies
349 Views
Habari za asubuhi wanajukwaa, Naomba kujua tofauti ya vitabu tajwa hapo juu maana naona kuna shule hasa hizi za English Medium zinatumia vitabu vya MEP kufundishia na zingine zinatumia vitabu vya...
2 Reactions
8 Replies
927 Views
Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo! Haya yafanyike kwa haraka!! Tutaona...
2 Reactions
5 Replies
605 Views
"Baba kama Pascal mtoto wa baba mkubwa amesoma degree ya uchumi anauza matunda barabarani na rafiki yake kasomea ualimu anaendesha boda boda kuna haja gani ya mimi kuenda kusoma wakati naweza...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu. Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Vyuo vingi vya Kati vya Afya na Sayansi Shirikishi kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za wanafunzi, wapo wanaofelishwa makusudi katika mitihani yao ya practical. Walimu wanatumia nafasi hiyo hasa kwa...
2 Reactions
9 Replies
765 Views
1. FARMING: Neolithic Revolution (14,000 years ago,). This IDEA helped to change the life of human being and civilization. 2. THE UNCONSCIOUS MIND: This IDEA was suggested by father of...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
TaiwanICDF Scholarship is now open till 1st march. The scholarship is full funded for masters and PhD and covers flight expenses go and return. The programs are English taught. It's so easy to...
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Anonymous
Jamani, Hivi suala la kujengea Wanafunzi vyoo ni la wakina nani? Maana kuna shule moja Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera inaitwa "Mugana A" kwakweli hali sio nzuri. Vijana hawana vyoo salama...
1 Reactions
0 Replies
240 Views
Anonymous
Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Habari zenu, TaiwanICDF Scholarships zimefunguliwa kwa sasa. Ni full funded kwa masters na PhD Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search TaiwanICDF...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye taaluma Tupate na majina yao Siku njema
0 Reactions
10 Replies
646 Views
Habari ndugu Wana JF, Kwanza nimshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai. Pili, nawaomba wazoefu na Mambo wanipe elimu/ufafanuzi juu ya wazo langu lifuatalo kuhusu masomo ya elimu ya juu! Kabla...
9 Reactions
78 Replies
5K Views
Jamani wakuu semeni mbinu mlizotumia mpaka mkafaulu division one au two
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuandika barua kwa mwanafunzi anaehama shule lakn pia anapohamia anakariri darasa.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 ...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Napenda kuwasapa salamu rafiki zangu. Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM. Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba...
10 Reactions
99 Replies
6K Views
Habari Wana JF! Je, wewe ni mmoja wa walimu unaejiandaa kwa usaili wa mchujo (Written Aptitude Test) au Oral Interview sekretarate Ya AJIRA na umekuwa ukijiuliza uanzie wapi au material gani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MASWALI YA KISWAHILI Tumia maswali haya kama njia ya kugundua nguvu zako (strength) na udhaifu wako (weakness) kuhusu uelewa wa somo na matumizi ya mbinu za ufundishaji, na si kama kipimo cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom