Unaweza kujiunga chuo kikuu kwa kutumia cheti cha VETA Level?

Ushauri wangu ni bora uanze QT unasoma mwaka mmoja fm1$2 unafanya mtihani wa taifa ukifaulu.

Unaenda fm3$4 mwaka mmoja ukifaulu unapewa cheti cha fm4 hata kama hukufanya vizuri lazima utapata credit 3 ambazo zitakisaidia kwenye kutafuta elimu ya juu.
 
Mtu ukiwa na level three(3) ya VETA na huna cheti cha Form Four je unaweza kusoma hadi chuo kikuu

Sent from my LGM-G600L using JamiiForums mobile app
Unaweza. Kwanza use na hiyo level 3 ya veta na pass 3 D za O level. Una ingia NACTE unachukua Ordinary Diploma na upate GPA isiyopungua 3. Hapo sasa unaweza kufikiriwa kudahiliwa kwa degree programs (TCU). Kwa uhakika zaidi pitia admission guides za NACTE na TCU (eauivalent qualificagions) unaweza kudaunlodi kwenye websites zao. All the best.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom