Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimepagawa na maisha nirejee shule Msaada
2 Reactions
3 Replies
312 Views
Ofisi za postgraduate SUA ni changamoto kubwa sana kwa wanachuo yaani kama sio mazingira ya rushwa basi kuna changamoto kubwa kwenye usimamizi wao. Nadhani wanachangia kwa sehemu kubwa wanafunzi...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Kumekuwa na kesi tofauti juu ya kudukuliwa kwa mifumo ya matokeo vyuoni na kubadilishwa. Kwa mfano alikuwa amefeli mwanafunzi ila mfumo unadukuliwa na kuandikiwa PASS. Sasa naomba kujua hii huwa...
1 Reactions
1 Replies
346 Views
Anonymous
Wizara ya Mikopo itazame Chuo vha Mipango kuna shida gani? Kila mara Wanachuo wanacheleweshewa Fedha za Kujikimu (boom). Pesa ziliwekwa kwenye mfumo tangu Oktoba 19, 2024 kisha Oktoba 30...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
Anonymous
Kero. Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mengwe, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ninawasilisha kero kwa niaba ya wakazi wenzangu wa Rombo. Muhula mpya wa Masomo umeanza Januari 13, 2025 lakini...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
ENGLISH TEACHERS TANZANIA As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test , it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu JF, Rafiki yangu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kustisha masomo na ku apply upya nilikuwa naomba ushahuri na muongozo tumsaidie.
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
0 Reactions
3 Replies
663 Views
Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Sababu: Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile: Programming Blockchain technology Web Development Akili Bandia (AI) &Machine Learning Ujuzi Mbalimbali wa...
3 Reactions
12 Replies
782 Views
Wakuu mnisaidie course Yani sielewi nipige art flat an course gani nzuri
0 Reactions
2 Replies
293 Views
national examinations council of tanzania csee 2011 examination results NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIACSEE 2011 EXAMINATION RESULTS S3548 MIDWAY SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II =...
0 Reactions
105 Replies
39K Views
Wakuu! Habari za asubuhi? Naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu "stop lying to yourself" kilichoandikwa na Simon Gilham anisaidie. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
623 Views
Elimu sio kusoma tu, kuna mazingira ya kusomea, walimu kusaidia wanafunzi, teknolojia, n.k. Kusomesha mtoto ni kumweka katika mazingira salama ya kusoma, awe na walimu wanaotimiza wajibu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
*THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS 1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC Focusing on teaching methodology and application mastery assessments. To answer effectively, you should have...
2 Reactions
2 Replies
6K Views
Why colonialism in Africa used armed struggle?discuss
1 Reactions
0 Replies
220 Views
Chuo kipi kinachotoa mafunzo kwa swimming instructors (Swimming short course) including certificates? Location: Dar
2 Reactions
3 Replies
665 Views
Anonymous
Kero yangu: Shule ya Sekondari Irugwa inawataka wanafunzi wanaoripoti kidato cha kwanza kwenda na Rimu 1, pia mwanafunzi anapofika kidato cha 3 anapeleka tena Rimu. Bado kuna michango kama vile...
0 Reactions
6 Replies
494 Views
Mtu ukiwa na level three(3) ya VETA na huna cheti cha Form Four je unaweza kusoma hadi chuo kikuu Sent from my LGM-G600L using JamiiForums mobile app
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom