Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

IJUMAA KAREEM WAKUU 🤲🏾 Leo tusikumbuke tu kusema Ijumaa njema, bali tukumbuke pia kusamehe, kusaidiana na kumuomba Mwenyezi Mungu atufungulie milango iliyofungwa. Kila mmoja ana vita yake ambayo...
2 Reactions
2 Replies
38 Views
Nimejaribu kufanya online application ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA), lakini mfumo umekataa na nimeshindwa kukamilisha maombi yangu. Nimejaribu mara kadhaa lakini bado mfumo hauniruhusu...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Wakuu habarini. Mimi ni mtumishi wa umma. Idara ya Elimu msingi. Nimesoma BAED. Naomba ushauri course ya kusoma Masters, lengo ni kutoka kufundisha. Pendeleo langu ni MASTER OF EDUCATION...
2 Reactions
6 Replies
208 Views
Anonymous (6de4)
Naomba kuwasilisha Jambo hili. Serikali iliyopo madarakani ambayo inakwenda kumaliza muda wake, imefanya ubadhirifu mkubwa wa fedha za wanafunzi, naomba TAKUKURU wafike na kulifanyia kazi, vijana...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Anonymous
Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi...
3 Reactions
4 Replies
232 Views
Nacte mifumo yao ina matatizo gani admission status mwanzo ilisoma selected kozi mionzi mbeya college leo admission status inarudi kwenye profile haionyeshi tena kama selected applicant
2 Reactions
4 Replies
87 Views
Kwanza tunawashukuru JamiiForums kwa kutupazia sauti, na baada ya hilo HESLB ikaongeza siku 4 za maombi. 🙏🏽 Lakini hadi leo 16 Septemba, OLAMS bado haijakaa sawa. Button ya kuingia kwenye...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Anonymous (9c40)
Kwanza, napenda kuishukuru sana JamiiForums kwa kutupazia sauti sisi waombaji wa mikopo ya HESLB. 🙏🏽 Post yenu ya tarehe 14 Septemba ilisaidia suala hili kuwafikia wahusika, na hatimaye HESLB...
0 Reactions
1 Replies
41 Views
Habari, naombeni ushauri..... Mdogo wangu amesoma Diploma of Clinical Medicine lakini alipata 2.7 GPA badala ya 3 amabyo inamuwezesha kuendelea na Degree yoyote katika course za afya. Kutokana na...
4 Reactions
46 Replies
734 Views
Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha...
2 Reactions
9 Replies
218 Views
Anonymous
Naomba ufafanuzi kuhusu maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu (HESLB). Niliwasilisha maombi yangu na yakapokelewa. Tarehe 3 Septemba 2026 nilipoingia kwenye akaunti yangu, nilikuta ujumbe...
2 Reactions
12 Replies
399 Views
Anonymous
Leo Chuo kimetoa majibu kuhusu appeals zilizowasilishwa na wanafunzi mbalimbali, wakiwemo wanafunzi wa Shahada za Uzamili (Masters). Kwa masikitiko makubwa, wanafunzi wote 295 waliowasilisha...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waombaji wengi wa mkopo wa HESLB, hasa sisi tuliotoka Diploma kwenda Degree. Kutokana na kuchelewa kwa matokeo ya Diploma, tuliopo kwenye kundi hili...
0 Reactions
5 Replies
376 Views
Anonymous
Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu...
3 Reactions
16 Replies
404 Views
DIRISHA KUWA WAZI HADI SEPT 18 KWA WANAOKAMILISHA MAOMBI Tunawajulisha waombaji na umma kwa ujumla kwamba, baada ya kuongeza siku 14 za kukamilisha maombi ya mikopo, zimejitokeza changamoto...
1 Reactions
2 Replies
178 Views
Anonymous (c258)
Department ya Foreign Language na Literature ya University of Dodoma kuna tatizo kubwa sana. Wanawafelisha wanafunzi bila msaada wowote. Mfano hai ni LG 102 (Communication Skills)—hili somo...
6 Reactions
9 Replies
325 Views
Lengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini...
17 Reactions
155 Replies
3K Views
Hivi Data Science ni elimu gani na inahusu nini? Naomba maelezo kidogo kuhusu kozi hii. Je, kuna uwezekano wa kupata ajira baada ya kusoma Data Science? Pia, mwanafunzi aliyesoma PCB anaweza...
1 Reactions
1 Replies
94 Views
1. Bachelor of Cyber Security (IAA) 2. Bachelor of Science in Data Science and Artificial Intelligence (ARU) 3. Bachelor of Science in Data Science and Artificial Intelligence (MUCE) 4. Bachelor...
4 Reactions
19 Replies
444 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…