Ni wapi Tanzania wanatoa kozi za CFA (Certified Financial Analyst) au CFP (Certified Financial Planner)

  • Thread starter Deleted member 486990
  • Start date
D

Deleted member 486990

Guest
Mimi ni mhitimu wa BACHELOR OF SCIENCE IN ECONOMICS AND FINANCE, SINA MPANGO WA KUAJIRIWA NATAKA KUENDELEA KUFANYA MAMBO YANGU (INVESTING) HUKU NASOMA.

Mambo yangu niliyaanza tokea nipo form 4 mwaka 2008, na lengo langu ni kuwa GREAT INVESTOR japo ni mdogo mdogo ila NASHUKURU MUNGU NASONGA na plan ni kuajiri raia kama 500 hivi.

Baada ya kupata MENTOR wa finance nikiwa form 4 (2008)... Alinipa sanaa ushauri juu ya "4 people in word" (employed, self employed, business man and investor) na kunitaka kuchagua moja (CHAGUO AMBALO SITOKUJA KUJUTIA WALA KULAUMU WAZAZI au DUNIA) NILICHAGUA INVESTOR na through INVESTMENT life langu lina songaa.

Huwa namshukuru sana yule JAMAA/MENTOR...

Mwaka huu nategemea kuanza kusoma MASTERS OF FINANCE AND INVESTMENT kati ya IFM na IAA.

Ila Moyo wangu uko interested sanaa na IFM, hii ni kutokana na kuvutiwa sana na PROGRAM/DEGREE STRUCTURE YAO KUTOKA PROSPECTUS YAO nilivyoisoma, maana nimezipitia prospectus zote 2 za IFM na IAA.

TUKIRUDI KWENYE HEADING....

Sasa nikiwa nasoma MASTERS nahitaji kufanya mtihani wa CFA na/au CPA.

THEN; Natafuta Center Dar/TANZANIA ambayo inatoa hii mitihani miwili..

Nimekua nikigoogle sanaa MATOKEO NAYOPATA NI mitihani ya ACCOUNTS (CPA, CIMA, ACCA, n.k) tuuu na HR (CHRM) na MARKETING ila sijawahi ona cite ikiniletea CENTER ZA FINANCE (CFA na CFP) hapa BONGO..

MWENYE INFO TAFADHALI NAOMBA nahitaji kuwahi DARASANI TAFADHALI..
 
Kuna college inaitwa Emerson Education ipo mkabala na Regency hospital, wanatoa tuition za CFA ila mtihani utahitajika kwenda kufanyia Nairobi au South Africa.

Hakuna facilities za kufanyisha mitihan hapa nchini. Zaidi ya hapo cjajua km kuna sehemu nyingine.
Malengo yako yanataka kufanana na yangu.
I hope this helps.

Ukipata update yoyote kuhusu upatikanaji wa hii course nchini nijulishe tafadhali.
 
Mimi ni mhitimu wa BACHELOR OF SCIENCE IN ECONOMICS AND FINANCE, SINA MPANGO WA KUAJIRIWA NATAKA KUENDELEA KUFANYA MAMBO YANGU (INVESTING) HUKU NASOMA.

Mambo yangu niliyaanza tokea nipo form 4 mwaka 2008, na lengo langu ni kuwa GREAT INVESTOR japo ni mdogo mdogo ila NASHUKURU MUNGU NASONGA na plan ni kuajiri raia kama 500 hivi.

Baada ya kupata MENTOR wa finance nikiwa form 4 (2008)... Alinipa sanaa ushauri juu ya "4 people in word" (employed, self employed, business man and investor) na kunitaka kuchagua moja (CHAGUO AMBALO SITOKUJA KUJUTIA WALA KULAUMU WAZAZI au DUNIA) NILICHAGUA INVESTOR na through INVESTMENT life langu lina songaa.

Huwa namshukuru sana yule JAMAA/MENTOR...

Mwaka huu nategemea kuanza kusoma MASTERS OF FINANCE AND INVESTMENT kati ya IFM na IAA.

Ila Moyo wangu uko interested sanaa na IFM, hii ni kutokana na kuvutiwa sana na PROGRAM/DEGREE STRUCTURE YAO KUTOKA PROSPECTUS YAO nilivyoisoma, maana nimezipitia prospectus zote 2 za IFM na IAA.

TUKIRUDI KWENYE HEADING....

Sasa nikiwa nasoma MASTERS nahitaji kufanya mtihani wa CFA na/au CPA.

THEN; Natafuta Center Dar/TANZANIA ambayo inatoa hii mitihani miwili..

Nimekua nikigoogle sanaa MATOKEO NAYOPATA NI mitihani ya ACCOUNTS (CPA, CIMA, ACCA, n.k) tuuu na HR (CHRM) na MARKETING ila sijawahi ona cite ikiniletea CENTER ZA FINANCE (CFA na CFP) hapa BONGO..

MWENYE INFO TAFADHALI NAOMBA nahitaji kuwahi DARASANI TAFADHALI..
Vipi uliendelea na mpango wa kusoma "MASTERS OF FINANCE AND INVESTMENTS" Pale IFM?
 
Back
Top Bottom