Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mazeru karate,is a self defense system, that combined techniques from jujitsu,karate,aiki do,Kung Fu and many self defense systems. Students learn to defend against common attack such as punches...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu Natanguliza shukurani Mimi ni muhitimu wa Diploma in Insurance and Risk Management, but nataka niende degree this year, ila nahitaji kubadilisha course ambayo iko marketable...
1 Reactions
12 Replies
929 Views
Naombeni msaada ni file gan au app gani mzuri ambayo unaweza ukaingiza nyaraka na ukaziserch zikaja kama (contacts number)
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kumekua na sintofahamu huko duniani inayoonekana vijana wengi wasomi wakisota mitaani kwa ugumu wa maisha kuliko vijana ambao hawajaenda shule au ambao siyo wasomi wa kiwango cha juu . Wapo...
3 Reactions
4 Replies
644 Views
Kusema ukweli kuna kitu hakipo sawa kwa sasa! Miaka 20 iliyopita division 3 kuipata ilikuwa kipengele sana, Hata waliopata walikuwa nauwezo flani hivi kiakili! Sasa hivi siyo ajabu mtu ambae...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Wana JF, Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free. Hii imekaa vipi kitaaluma?
5 Reactions
75 Replies
15K Views
Kama mmiliki wa shule ya sekondari binafsi nchini, nina wasiwasi kuhusu mabadiliko yanayokuja katika mfumo wa elimu, hasa kutokana na kufutwa kwa darasa la saba kuanzia mwaka 2027. Hii...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari waungwana. Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online na certificate naomba anisaidie address yake nahitaji kusoma ila mfukoni pesa...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Mdogo wangu anamiaka 17 kahitimu elimu ya kidato cha nne mwaka jana yaaani ni 2024. Lakini haikuwa bahati yake kupata matokeo mazuri kutokana na mambo mengi. 1.Usimamizi mbovu kutoka pande mbili...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Nikikumbuka enzi nipo o level mpaka a level,hakika nilikuwa nawaamini sana walimu wangu wa tuition za mchikichini eg: teacher hidden agenda,mud,osama,mbuga,hawa jamaa ni noma hata walimu wa shulen...
1 Reactions
23 Replies
53K Views
Habari! Naomba kufahamu mbinu za usomaji mzuri ili mtu aweze kufaulu vizuri mitihani yake na kufanikiwa kupanda ngazi nyingine. Nitawashukuru sana.
15 Reactions
127 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
0 Reactions
8 Replies
512 Views
Mwamba alitisha sana pale mchiki-down kwenye namba. Mnamkumbuka?
3 Reactions
12 Replies
970 Views
Kijana wa PCM amechaguliwa mechatronic engineering DMI na ATC. Pia amechaguliwa mechanical engineering MUST 1. Je kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa...
4 Reactions
55 Replies
9K Views
Je MTU wa pgm anaweza soma hii Je ina ajira? Je ugumu wake ukoje Na idadi gani wanachukua hii kozi Vyuo gani kozi hii inakutwa Msaada jamani
0 Reactions
25 Replies
11K Views
MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025 MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU: 1.Mtihani wa darasa la Saba utafutwa...
26 Reactions
91 Replies
8K Views
Hawa huwa wanaenda wapi na mchango wao kwa taifa ni upi maana wana zaidi ya miaka 20 sasa lakini hatuoni impact uraiani, nilitegemea hawa wawe wakombozi wa wenzao lakini maajabu divion 0 zimekuwa...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu. Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakuu wangu habari za muda huu, Naomba kujua changamoto ya kusomea Degree ya Law chuoni na pia soko lake la ajira kwani mimi ni mhitimu kidato cha sita na ndoto zangu ni kuwa lawyer.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau kwema? Naomba kuuliza,wale ambao walituma maombi ya kujiunga na kozi za veta kwa udhamini wa samia mwezi Feb mwaka huu matokeo ya yameshatangazwa? tangazo lilisema masomo yataanza kesho...
0 Reactions
5 Replies
579 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…