Habari wana JF,
Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2.
Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy...
Wazima wana Jf.
Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu.
Nina umri wa miaka 31. Nilimaliza shule ya msingi miaka 18 iliyopita. Sikufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na masomo ya...
Habarini wanaJF, nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana na ameomba tumtafutie chuo bora cha VETA akasomee kozi ndefu ya umeme, ana pass ya C 2 na D 4 maana anapenda sana umeme so...
Huyu ni mdogo wangu amepata ufaulu huu
Ila Mimi nataka aaende chuo moja kwa moja aanze certificate mpka degree Naona kwenda advance ni kupoteza muda
Natamani asome
Cyber security
Computer...
Habari za wakati huu wana jamiiforum, Rejea kichwa cha Habari hapo juu ni kwamba Nina tafuta mtu anayesoma katika Chuo Kikuu huria OUT, kozi ya procurement and supply ngazi ya Diploma lakini pia...
Jamani Nina mdogo angu alikuwa anasoma pale UDSM mwaka 2023/2024 alikuwa 2nd year,alipat changamoto ikamtoa mchezoni akaondoka chuo bila taarifa, Ili akatatue changamoto bahati nzuri/mbaya mtoto...
Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno.
Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5?
Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica...
Mambo wana JamiiForums,
Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi...
Wakuu natumai nyote ni wazima wa afya.
Naomba mnisaidie utafauti wa advanced diploma na postgraduate diploma, Na unatakiwa kuwa na sifa zipi ndo utaweza kusoma kimoja wapo hapo.
Ahsante!
Wakuu naomba kuuliza je kuna tofauti Kati ya hizo academic terms mbili ki Tanzania Tanzania!!?? NA je mtu mwenye stashahada ya juu analipwa sawa na mtu wa shahada??
Habari zenu wapendwa
Naomba kufahamu tofauti iliyopo kati ya advanced diploma na Bachelor degree.
~Ipi ni kubwa kuliko nyingine
~Sifa za kujiunga na kila moja
Ahsanteni na samahani kwa usumbufu
Karibia kila kitu kwenye ulimwengu kimeundwa na na Matter ikiwa kwenye umbo/aina tofauti kama Solids,liquids,gasses na plasma hizi aina aina za matter zimeundwa na particles ndogo {subatomic...
Wasaalimu Jamii forum
Mimi ni kijana mwenzenu nasoma india kwa sasa. Ni mwaka wa 4. Nasomea medicine.
Ki ukweli huwa nawasikitikia sana vijana wenzangu, ambao pia naweza waita wadogo zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.