Tunaomba waziri wa sayansi na elimu ya juu na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) mtusaidie tuweze kupata wahadhiri wa kutufundisha masomo ya tiba kwa njia ya vitendo ngazi ya shahada ya kwanza (...
Wanafunzi wa UDOM college ya Education, wakati chuo kinafungwa kwa wiki moja tu, wanafunzi wanaobaki wanaambiwa kulipia tshs 5,200 ya hosteli ilihali malipo ya hosteli yamefanyika kwa mwaka...
Wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikiri Tabora, wamekuwa wakipitia changamoto ya kupewa matokeo yasiyo sahihi kwa muda mrefu sasa, hali ambayo imepelekea wengine kupewa barua za...
Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi
1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa
2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa
3. watoto hawako huru...
Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa
1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa)
2. Mark Zuckerberg -...
Kwanza poleni na majukmu,
Zingatia title ya uzi hapo juu,, kiufupi hii ni kozi ya mwaka mmoja ambayo mara nyingi inachukua wale ambao wamemaliza bachelor degree zao tofauti na education na...
Comrades and colleagues,
Here is the opportunity to develop a career in the teaching profession in a flexible manner. You will study while continuing with your work, without interruption. Read...
Great Lakes University of
Kisumu (GLUK). Kenya.
Diploma in Community Health & Development
DIPLOMA IN
COMMUNITY HEALTH &
DEVELOPMENT
COURSE UNITS
Year I – Semester I
CHD 0111 Introduction to...
Habarini wana jf,hamjambo?
Kama kilivyo kichwa cha habari,naamini humu kuna wajuzi wengi wa elimu mbalimbali,ni kwamba jambo hili limekuwa likinikereketa kwa mda mrefu sasa,ni hivi huwa...
Kwanza niwape pole walimu na pia wale wote waliohusika hadi kutufikisha hapa na kutupa uelewa kupitia wa elimu.Miaka ya 90 watu walisoma wakubwa lakini walikuwa watiifu sana wa kufata maelekezo na...
Mazeru karate,is a self defense system, that combined techniques from jujitsu,karate,aiki do,Kung Fu and many self defense systems. Students learn to defend against common attack such as punches...
Habari wakuu
Natanguliza shukurani
Mimi ni muhitimu wa Diploma in Insurance and Risk Management, but nataka niende degree this year, ila nahitaji kubadilisha course ambayo iko marketable...
Kumekua na sintofahamu huko duniani inayoonekana vijana wengi wasomi wakisota mitaani kwa ugumu wa maisha kuliko vijana ambao hawajaenda shule au ambao siyo wasomi wa kiwango cha juu .
Wapo...
Kusema ukweli kuna kitu hakipo sawa kwa sasa!
Miaka 20 iliyopita division 3 kuipata ilikuwa kipengele sana,
Hata waliopata walikuwa nauwezo flani hivi kiakili!
Sasa hivi siyo ajabu mtu ambae...
Wana JF,
Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free.
Hii imekaa vipi kitaaluma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.