Changamoto za kuisomea Degree ya Sheria

George Orwa

New Member
Oct 11, 2018
1
0
Wakuu wangu habari za muda huu,

Naomba kujua changamoto ya kusomea Degree ya Law chuoni na pia soko lake la ajira kwani mimi ni mhitimu kidato cha sita na ndoto zangu ni kuwa lawyer.
 
Kila sector inachangamoto zake, ukiweza kusoma kwa bidii na kuipenda law vizuri utatoboa tu. Soko la ajira halitabiliki...
 
Wakuu wangu habari za muda huu,

Naomba kujua changamoto ya kusomea Degree ya Law chuoni na pia soko lake la ajira kwani mimi ni mhitimu kidato cha sita na ndoto zangu ni kuwa lawyer.
Kama ni ndoto yako nakushauri fwata ndoto yako.

Huo ndio ushauri wangu.
 
Unasoma miaka mitano me hiyo kwangu ni changamoto, af idad yenu ni nyomi apa saut wakiw wanatoka darasan utadhan tuko kariakoo, hii inaonyesha kupata ajira ni mziki
Wanamaliza wengi degree msoto unaenda law school
 
Back
Top Bottom