Msaada: Kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

Feb 2, 2015
26
15
Kijana wa PCM amechaguliwa mechatronic engineering DMI na ATC. Pia amechaguliwa mechanical engineering MUST
1. Je kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

2. Kati ya DMI na ATC, kipi ni chuo kizuri kwa kusoma bachelor degree ya mechatronic engineering?
 
2.Kati ya DMI na ATC, kipi ni chuo kizuri kwa kusoma bachelor degree ya mechatronic engineering?
Aende DIM
 
Kijana wa PCM amechaguliwa mechatronic engineering DMI na ATC. Pia amechaguliwa mechanical engineering MUST
1. Je kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

2. Kati ya DMI na ATC, kipi ni chuo kizuri kwa kusoma bachelor degree ya mechatronic engineering?
Duniani kuna kozi kuu 3 za uhandisi!

1. Civil

2. Electrical

3. Mechanical

The rest ni watoto wa hizo tatu. Mfano computer science ni zao la electrical, agriculture engineering ni zao la mechanical na hiyo mechanitronic ni zao la mechanical!

Ukisoma yeyote kati ya hizo kozi kuu 3 za uhandisi huwezi lala njaa hapa duniani!
 
By the way.. naomba nijibu haya maswali

1. Kwanini unataka soma mechatronics?

2. Kwa kuzingatia unaishi bongo nchi ya ulimwengu wa 3 je Unasoma mechatotronics ili badae ufanye nini?
 
Kuna Point hapa wakusikilize
 
Kozi mama hizo za uhandisi.
 
Sawa asante
 
By the way.. naomba nijibu haya maswali

1. Kwanini unataka soma mechatronics?

2. Kwa kuzingatia unaishi bongo nchi ya ulimwengu wa 3 je Unasoma mechatotronics ili badae ufanye nini?
Kwakuwa inahusisha mechanical, electrical, electronic na computer engineering nadhani anayesoma atakuwa wide na kufit kwenye sector/nyanja nyingi za ajira.
 
Kijana wa PCM amechaguliwa mechatronic engineering DMI na ATC. Pia amechaguliwa mechanical engineering MUST
1. Je kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa kuajiriwa au kujiajiri?

2. Kati ya DMI na ATC, kipi ni chuo kizuri kwa kusoma bachelor degree ya mechatronic engineering?
Kati ya mechatronics and mechanical Ni bora asome mechatronics .
1. Mechatronics Ni mkusanyiko wa mechanical + electrical and electronics + computer science . Utasoma module tofauti kutokea kwenye sekta hizo .
2. Mechatronics Pia inaendana na revolution ya engineering iliopo . Mfano robotics and artificial intelligence . MTU aliesoma mechatronics Ni rahisi hata kufanya Kazi kwenye sekta hizo kuliko pure mechanical .
Mashine nyingi na system za sasa na zinazoendelea kutengenezwa unakuta Ni full mechatronics.
3. Ukuingia engineering registration board ERB Kuna watu 10 tu ndani ya Tanzania waliosajiliwa na Bachelor of mechatronics engineering. Na hawa wote uhakika hawakusoma Tanzania maana mpaka sasa Ni vyuo viwili tu tz vinavyotoa mechatronics DMI na ATC na vyuo vyote Hakuna graduate waliotoa mpaka sasa. graduate wa mwanzo itakuwa 2023/24. Hivyo Kuna potential kubwa ya ajira ukilinganisha na pure mechanical ambao Kuna graduate Zaidi ya 1000+ waliosajiliwa na bodi
4.. Kati ya DMI na ATC bora ATC kwani kile chuo kina practical nyingi Zaidi ya vyuo vyote vya technical hapa tz . Na hata mashine walizokuwa nazo Kuna baadhi zipo pale tu ATC. Advantage ya DMI , utasoma Artificial intelligence as module katika mechatronics . ATC bado hawajaweka prospectus yenye modules za mechatronics so Ni ngumu kujua utakutana na nini kwenye module .
5. Advantage nyengine ya ATC ndani ya mechatronics utapata kusoma latest technology sababu ile Kizo IPO sponsored na vyuo vya nje vya South Korea . Tembelea ATC website kwa maelezo Zaidi .
 
Asante kwa maelezo mazuri sana, ubarikiwe.
 
Duniani kuna kozi kuu 3 za uhandisi!

1. Civil

2. Electrical

3. Mechanical

The rest ni watoto wa hizo tatu. Mfano computer science ni zao la electrical, agriculture engineering ni zao la mechanical na hiyo mechanitronic ni zao la mechanical!

Ukisoma yeyote kati ya hizo kozi kuu 3 za uhandisi huwezi lala njaa hapa duniani!
Endelea kukariri
 
kwa maelezo mazuri sana, ubarikiwe.
Pia akumbuke mechatronics ya DMI Ipo kwenye marine environment Zaidi , angalia prospectus yao utaona hata module nyingi wanashare na wanafunzi wa marine , mechanical and marine . Hata 2021 ilikuwainaitwa naval mechatronics . Wameibadilisha 2022 na kuendelea .
Ila ile ya ATC Ni mechatronics and material engineering . Pia Ni Bachelor ya mwanzo tz kwa in material engineering Hakuna chuo wanachotoa .
 
Dah! Asante sana kwa elimu hii.
 
Kati ya mechatronics and mechanical Ni bora asome mechatronics .
1. Mechatronics Ni mkusanyiko wa mechanical + electrical and electronics + computer science . Utasoma module tofauti kutokea kwenye sekta hizo .
2. Mechatronics Pia inaendana na revolution ya engineering iliopo . Mfano robotics and artificial intelligence . MTU aliesoma mechatronics Ni rahisi hata kufanya Kazi kwenye sekta hizo kuliko pure mechanical .
Mashine nyingi na system za sasa na zinazoendelea kutengenezwa unakuta Ni full mechatronics.
3. Ukuingia engineering registration board ERB Kuna watu 10 tu ndani ya Tanzania waliosajiliwa na Bachelor of mechatronics engineering. Na hawa wote uhakika hawakusoma Tanzania maana mpaka sasa Ni vyuo viwili tu tz vinavyotoa mechatronics DMI na ATC na vyuo vyote Hakuna graduate waliotoa mpaka sasa. graduate wa mwanzo itakuwa 2023/24. Hivyo Kuna potential kubwa ya ajira ukilinganisha na pure mechanical ambao Kuna graduate Zaidi ya 1000+ waliosajiliwa na bodi
4.. Kati ya DMI na ATC bora ATC kwani kile chuo kina practical nyingi Zaidi ya vyuo vyote vya technical hapa tz . Na hata mashine walizokuwa nazo Kuna baadhi zipo pale tu ATC. Advantage ya DMI , utasoma Artificial intelligence as module katika mechatronics . ATC bado hawajaweka prospectus yenye modules za mechatronics so Ni ngumu kujua utakutana na nini kwenye module .
5. Advantage nyengine ya ATC ndani ya mechatronics utapata kusoma latest technology sababu ile Kizo IPO sponsored na vyuo vya nje vya South Korea . Tembelea ATC website kwa maelezo Zaidi .
Nianze na hapo kwenye ERB kuwa watu 10 na hiyonkozi kutolewa na vyuo viwili.

Kwanza unatakiwa ujiulize kwanini ERB wako 10? Je ni kwa sababu wahitimu hawana kazi ndio maana hawasajiliwi? Maana huwezi sajiliwa ERB kama huna field experience au kazi.

Je ni kwa sababu hii kozi haina application au haina taasisi nyingi zinazo deal nayo kwa bongo kwa sasa ndio maana watu wake hawasajiliwi erb?

Pili je ni kwanini inatolewa na vyuo viwili? Unataka sema vyuo kama UDSM, COET na UDOM hawaitaki? Swali ni je ni kwanini vyuo viwili tu?

Inshort baadhi ya hayo uliyo yasema ni kweli ila hayana uhalisia hapa Tz/bongo kwa sasa labda miaka 50 ijayo.

NB: Bado nakumbuka hype ya petrolium emgineering..
 
kwel kabisa graduater wa mechatronic atakutana na uhalisia ambao utamshangaza.maana sis bado kwa kwel tuko ulimwengu wa tatu na sehemu pekee ya mechatronics engineer kuonesha ujuz wake n kiwandan.na kwa uhalisia viwanda ambavyo viko automated n vichache sana

Kijan mi nimesoma Mechanical engineering.kwo nakushauri soma bachelor ya koz mama kwanza then ukitaka kusom masters then kasome mechatronics

kama kwel una nia ya kusoma mechatronics bas usiiahi Africa uende ukaishi nchi za ulimwengu wa 1 ndo utainjoy fun yako

jambo kubwa la kunote ni kwamba sawa utasoma courses nying kwenye mechatronics lakin utakua partial kila sehemu
 
Dah! Asante sana kwa elimu hii.
Mdogo wangu kwanza mimi ni mhandisi by profession na nnaona kinachotokea katika sekta ya uhandisi hapa Tz.

Pili nimekutajia hizo kozi 3 hapo juu sio kwamba nimezisoma la hasha ila kwa hali halisi hapa Tz hizo ndio zina future ya uhakika!

Na hizo ndizo sababu nimekushauri usome moja kati ya hizo.

Mfano umesoma civil umemaliza na huna ajira unaweza tafuta hata kikampuni cha ujenzi ukajichomeka ukapata chochote! Je ikisoma mechatronics na huna connection yeyote utaweza jichomeka wapi upate walau ugali?

Sio kwamba ni mbaya la hasha ila ni kwa sababu bado ni kozi mpya hapa Tz hata mwamko wake uko chini na hata chance ikitokea kupata ni ngumu (japo lazima niseme ukweli kwamba ukipata umepata kweli kweli)

Nikuache na hili swali..

Katika ajira mfano za serikali (nimetolea mfano serikali maana ndio muajiri mkuu) ushawahi ona ajira za mechatronics zinatangazwa?

Unless unaweza jiajiri au ukapata connection ya uhakiki kwenye kampuni za mechatronics (kama zipo) nenda kazome otherwise think!

NB: sisi tunakupa tu mwongozo kulingana na uzoefu wetu, kuwa huru kuchagua unachopenda!
 
kwel kabisa graduater wa mechatronic atakutana na uhalisia ambao utamshangaza.maana sis bado kwa kwel tuko ulimwengu wa tatu na sehemu pekee ya mechatronics engineer kuonesha ujuz wake n kiwandan.na kwa uhalisia viwanda ambavyo viko automated n vichache sana

Kijan mi nimesoma Mechanical engineering.kwo nakushauri soma bachelor ya koz mama kwanza then ukitaka kusom masters then kasome mechatronics

kama kwel una nia ya kusoma mechatronics bas usiiahi Africa uende ukaishi nchi za ulimwengu wa 1 ndo utainjoy fun yako

jambo kubwa la kunote ni kwamba sawa utasoma courses nying kwenye mechatronics lakin utakua partial kila sehemu
Umetoa mchango mzuri sana! Na nnakubaliana na wewe hapo kwenye masters maana mechatronics ni mtoto wa mechanical na eletrical!

Shida vijana wanachagua kozi kwa mihemko hawajui uhalisia uliopo mtaani (japo siwalaumu).

Unakuta mtu anaangalia youtube jinsi maroboti yanafanya kazi anadhani ndio mambo yalivyo hapa bongo! Anasoma akimaliza anakutana na kitu kinaitwa stess!

All in all, kama kijana ana connection au ni kitu anakipenda kutoka moyoni yaani passion ya kweli kweli akasome maana haya maisha sometimes ni bahati!
 
Back
Top Bottom