Hivi mechanical engineering ndo ikoje msaada jamani

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
7,605
2,000
Je MTU wa pgm anaweza soma hii
Je ina ajira?
Je ugumu wake ukoje
Na idadi gani wanachukua hii kozi
Vyuo gani kozi hii inakutwa
Msaada jamani
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,834
2,000
Swali lako linatakiwa upate jibu kwa kirefu na maelezo ya kutosha.
1. Kwakifupi Mechanical Engineer ni Mhandisi wa Mitambo.
2. Ajira za kazi hiyo zipo na hata nirahisi kujiajiri ikiwa kazi yako unaifaham.
3. Kuna sehemu kazi hii inahitaji nguvu na sehem zingine inahitaji akili tu.
 
VeroEretico

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
401
500
Mechanical engineering ni wahandisi mitambo kazi unaweza ajiriwa viwandani , migodini, kwenye karakana za magari, gerege,
Vyuo vinavyotoa hii kozi ni DIT, Mbeya Tech, Arusha tech, na kadhalika
Ndiyo PGM anaweza soma hii kozi kwani Core subject ni Mathematics na physics
In short mechanical Engeneer ni ufundi mitambo,whether nagari, ndege, meli, Treni, mitambo ya viwandani etc
 
Ahsante
 
UDSM je
 
Scale

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,854
2,000
Mitambo mpaka Mifumo ya Maji Taka kwenye majengo wamo!
Usiogope kijana, ni kozi nzuri sana!
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,736
2,000
Course nzuri sana hii,kwa KUAJIRIWA na kujiajjiri.uwanja ni wako

By the way ukijikamua ukaajiriwa kisha ukaja jiajiri basi utakua fire ndan ya jamii

Ni course nyepes KUJIAJIRI ndan ya engineering industryNdani ya mechanical utasoma IC,AUTOMOTIVE,HDRAULIC AND FLUID,DIGITAL, ELECTRICAL HASWA GENERATOR&MOTOR,TRANSFORMER
UTASOMA INDUSTRY AUTOMATION,POWER PLANT,STRENGTH, ROBOTIC,ENVIRONMENT ESPECIAL TO THE VEHICLE AND INDUSTRY, UTASOMA DESIGN YA VITU MBALI MBALI VYA INDUSTRY N.K
KWA KWELI KUNA MENGI SANAAAA UTAJUFUNZA

FURSA/SEHEMU ZA AJIRA NI NYINGI SANAAAAAAA

KUANZIA SERKALINI,TBS,HALMASHAUR,TEMESA,TANESCO,TANROADS,BANDARINI, N.K

PIA KUNA MINING,GESI,EWURA MENGI TU.

Pia viwandani kote lazma mech awepo,MAKAMPUNI MAKUBWA ya magar,mech yupoo,transport kuanzia bandar,reli,meli,ndege note mech wapo.ZAID ya yote fursa ya KUJIAJIRI ni kubwa sanaaa na utatoboa

Ukipata nje pia has a arabun daah itakua poa ZAID,mech huko wanapata greencard kama upo vizur na mambo yako yatakua superAnayejuta kusoma mech bado hajitambui
 
Du kumbe ndo hivyo ahsante sana
 
smigo4u

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,244
2,000
Mkuu sikushauri ukasomee kozi yoyote ya science(note Uhandisi na afya) UDSM sababu wame base sana kwenye theory na hawana vifaa vya kutosha so utatoka umemeza theory tu na prac zer0 labda kama unataka kuwa mwalimu mzuri wa course yako
 
germanium

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
690
1,000
Mkuu sikushauri ukasomee kozi yoyote ya science(note Uhandisi na afya) UDSM sababu wame base sana kwenye theory na hawana vifaa vya kutosha so utatoka umemeza theory tu na prac zer0 labda kama unataka kuwa mwalimu mzuri wa course yako
vyuo vyote vya serikali vinavyotoa bachelor degree za engineering ukiangalia workshops zao zipo outdated yaani hazifai kwa matumizi ya sasa, ila udsm is the best
 
Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,672
2,000
Swali lako linatakiwa upate jibu kwa kirefu na maelezo ya kutosha.
1. Kwakifupi Mechanical Engineer ni Mhandisi wa Mitambo.
2. Ajira za kazi hiyo zipo na hata nirahisi kujiajiri ikiwa kazi yako unaifaham.
3. Kuna sehemu kazi hii inahitaji nguvu na sehem zingine inahitaji akili tu.
niongezee hapo.....unaweza ukakaa miezi mitatu bila kufanyakazi na mshahara wako upo pale pale kazi yako ni kusaini wakati wa kuingia na kutoka na chai unakunywa bure
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom