Tumia hii Everythingfile gan au app gani mzuri ambayo unaweza ukaingiza nyaraka
https://www.filehorse.com/download-everything-32/
Yaani mfano kama file la contacts unaweza ukasevu namba fulani na baadae ukaiserch ikatokea kwaiyo mi nilikuw nataka kama iyoHujaeleweka.
Ila Kama unataka kusearch files na folders mbalimbali zilizo katika directories tofauti tofauti katika computer unaweza tumia software inaitwa everything.
Kwaiyo hij nikitaka kuingiza nyaraka ninafanyaje?Tumia hii Everything
Kwa ufupi
Download linkEverything is a search engine for Windows that replaces the normal Windows search with a much faster one. Unlike Windows search, Everything initially displays every file and folder on your computer.
Code:https://www.filehorse.com/download-everything-32/
Ok sawa mkuuNgoja waje kukupa muongozo...
Ok sasa nilikuw naulizia file au app ambayo nitatumia kuingiza hizo data na nikitumia iyo everything itatokeaTumia hii Everything
Kwa ufupi
Download linkEverything is a search engine for Windows that replaces the normal Windows search with a much faster one. Unlike Windows search, Everything initially displays every file and folder on your computer.
Code:https://www.filehorse.com/download-everything-32/
- Maelezo yako hayajitoshelezi.Ok sasa nilikuw naulizia file au app ambayo nitatumia kuingiza hizo data na nikitumia iyo everything itatokea
Computer- Maelezo yako hayajitoshelezi.
Je ni kifaa kipi unatumia? Ni simu au computer.
Natumia computerComputer
Fungua Excel, ikisha funguka bonyeza Ctrl+A kisha Ctrl+ F kwenye keyboard yako, itafunguka kama kipage 'window' then type hapo jina la Data unayoitafuta.Naomba kuuljza ivi nyaraka zilizoseviwa kwenye Microsoft excel unaweza kusachi kupata nyaraka unayoitaji
Na Kama natumia simu ni app gani inafaa??- Maelezo yako hayajitoshelezi.
Je ni kifaa kipi unatumia? Ni simu au computer.
Kwaiy nyaraka zolizo kwenye excel unaweza ukaziseach kwa kutumia ile app ya seach everythingNa Kama natumia simu ni app gani inafaa??
Nimejaribu kuclick ctrl A na ctrl F nikaandika jina la data ikaniandikia (we couldn't find what you were looking for. Click options for more ways to search.)Fungua Excel, ikisha funguka bonyeza Ctrl+A kisha Ctrl+ F kwenye keyboard yako, itafunguka kama kipage 'window' then type hapo jina la Data unayoitafuta.