Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.
Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa...
Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia...
Mtu anaejifunza karate au sanaa nyingine yoyote ile ya mapigano, hupata faida nyingi sana, ikiwemo kwanza anapata uwezo wa kujihami dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, watekaji na wauaji. Pia...
Wakuu salamu.
Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani?
Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online...
Tanzania ! Tanzania ! Tanzania !
Habari za leo vijana wasomi.
Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada.
1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA...
https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7
HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu...
Habari za Jioni wakuu?
Leo nimeona niwashirikishe juu ya mchongo huu. Ni kuwa, hii ni Program maalamu ya kuwawezesha mabinti ambao hawakumaliza elimu ya Sekondari kwa sababu yoyote kujiendeleza...
Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu.
Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za...
Habari Wana bodi ,Ikiwa Leo 8/3/2025 ni siku ya wanawake duniani kwa upekee kabisa mwaka huu naomba siku hii ni-dedicate kwa mwanamke wa nguvu Mkuu wa shule Chamazi Sekondari E.Chilewa .
Mama...
Wakuu Habari zenu.
Wale walio tuma mahombi Tax Manger position na Internal Affair Officer tuchangamshe vichwa na Maswali ya Miaka ya nyuma.
IMPORTANT ANNOUNCEMENT
ALL CANDIDATES EXPECTED TO...
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu...
Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje?
na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah...
Habari wadau wa elimu, nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili lakini sikupata jibu lenye ukweli ndani yake.
Mfano, mimi nina degree/Masters ya engineering, baada ya kuona upepo mtaani hauko vizuri...
Kama mdau wa elimu ya ufundi napenda kutoa shukran zangu kwa NACTVET kwa namna walivyojitahidi kuwahisha matokeo ya VETA level II mwaka huu, ni wazi maboresho ya msingi yamefanyika.
Hata hivyo...
Habari wakuu.
Mimi kijana niliyesoma Diploma ya uuguzi na ukunga nashukuru Mungu mwaka huu nimebahatika kuajiriwa rasmi Serikali.
Nilikuwa na lengo la muda mrefu kujiendeleza kimasomo lakini...
Habari WanaJamiiForums,
Ninahitaji kuwa competent kwenye kuongea kingereza hivo natafuta mtu au watu ambao wako na mitazamo sawa na mimi ili tutafute namna ya kuongea japo kila siku usiku kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.