Nimeshangazwa kusikia Chuo cha MUM (Muslim University of Morogoro) hakina weekend, hii imekaaje?

mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
2,506
2,000
Daah nimejaribu kukupa maelezo nimeshindwa. Muhimu zaidi fika Chuoni
 
Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
2,661
2,000
naona chuo chenyewe Maghumashi! Majengo walipewa bure, mpaka leo akuna uboreshaji wala upanuzi wa uhakika wa hicho chuo, wanafunzi wanaishi mitaani Nawaonea huruma sana hasa wasichana why awajengi hostel?

Na Wakati ada wanalipwa mabilioni na board ya mikopo?.mwaka wa kumi na kitu sasa toka chuo kianzishwe awana ata tawi kwenye mkoa wowote zaidi ya hiyo main campus ya Tanesco Morogoro! ukiwaambia ukweli watakuambia Mfumo Kristo,mtu ansomea Islamic Law hapa Tanzania alafu analalamika eti ajira akuna.
 
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
3,249
2,000
Wanasoma 24/7 without any break ?, ni mawili either wanatoa material zaidi ya vyuo vingine (hence unapata zaidi ya value for your money) au wanakwenda overboard hence kuwa-overfeed na mwisho wa siku mnapata quantity na sio quality
 
Johnyy

Johnyy

Member
70
95
Wewe kinakuuma Nini asee,,,chuo ni Chao,kingekuwa magumashi kingefungiwa zamani,vyuo vingi vimefungiwa ujue,ambavyo Ni magumashi,,,
Acha kuteseka roho kwa mambo ya kijinga,utakufa kwa presha bure
lakini wajitathmini wanaweza kufungiwa
 
Johnyy

Johnyy

Member
70
95
Wanasoma 24/7 without any break ?, ni mawili either wanatoa material zaidi ya vyuo vingine (hence unapata zaidi ya value for your money) au wanakwenda overboard hence kuwa-overfeed na mwisho wa siku mnapata quantity na sio quality
Yahh nadhan quantity ndo inatolewa ingekua quality kwenye soko la ajira wangekua favoured sana
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
34,710
2,000
lakini wajitathmini wanaweza kufungiwa
Wajitathimini kivipi labda?.
Maana nijuavyo round ya kwanza vimefungwa vyuo kibao hawakuwahi,

Na hivi karibuni vimefungwa vyuo kibao,hawakuwamo. kUnataka kusema wakaguzi hawakuoni chuo ama?
 
T14 Armata

T14 Armata

JF-Expert Member
1,714
2,000
Mdogo wangu kwa mamkubwa walitaka kumsomesha kule diploma mwaka jana. Nilikuwa sipendi kusikia kabisa wanataja uwezekano huo. Bahati nzuri wakaelewa ushauri akaenda SAUT. Alikuwa na ufaulu mzuri na sasa anafanya vizuri kabisa.
 

Forum statistics


Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom