Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
577
250
Habari waungwana.

Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online na certificate naomba anisaidie address yake nahitaji kusoma ila mfukoni pesa mtihani.

Natanguliza shukrank
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,738
2,000
kama ni computer science kuna hiki university of people..... University of the People: Tuition-Free, Accredited Online Degree Programs
kuna kimoja kinatoa diploma ya occupational safety cha german ni free ni online pia
University of the people
Sent using Jamii Forums mobile app
je unataka kusomea nini tuanzie hapo
Jukwaa hili lina wajuvi wa mambo nilipita nione kama kuna alieweka hiki chuo-na wawili wamefanya hivyo. Niwape kongole. JF Elimu iko juu.
 

saint DR

Senior Member
Aug 21, 2014
178
225
Habari waungwana.

Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online na certificate naomba anisaidie address yake nahitaji kusoma ila mfukoni pesa mtihani.

Natanguliza shukrank
YouTube me ndiyo naona ndiyo chuo bora
 

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
577
250

gh hussa

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
2,891
2,000
Write your reply...ngoja nieke kambi hapa nitafute degree ya bure kabisa nikavimbe kitaa
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,042
2,000
https://www.uopeople.edu/
Hao university of the people sio bure kabisa japo wana mitaala mizuri na ni nafuu.
Kuna gharama kama usd 60 kwa usajili.
Pia unalipa usd 100 kwa kila mtihani unaofanya kulingana na bachelor uliyoichagua.

Kama lengo ni kupata tu elimu na kuongeza maarifa, kuna hizi sites wanatoa kozi mbali mbali.

www.edx.org
www.coursera.org
www.udacity.com
www.alison.com

Ukiwa na internet na ukajua kuitumia vizuri ni zaidi ya chuo kikuu.

Kupata chuo cha bure kabisa yaani bure inaweza kuwa ngumu lakini unaweza kuomba msaada wa ufadhili kwa vile vyenye gharama nafuu.

Pia open university yetu watu wanaidharau wanasahau ukishahitim una sifa kama ya mwingine kuwa una degree.

Nikutakie kila la kheri.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom