Naomba kujulishwa kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma za clinical medicine na pharmacy kipo kigamboni anijulishe na bado kinapokea wanafunzi!
Asante
Habari za wakati wana jf natafuta wanafunzi wa advance mchepuo wa EGM mkoa wa mwanza wanao kaa Day's tuwasiliane watsap no 07-58494651 au hata mwalimu pia wa masomo hayo
Wakuu hatimaye nimefaulu kujiunga kidato cha tano kwa kupata division one ya point 10
Matokeo yangu ni kama ifuatavyo
Phys =B
Chem =A
Maths=A
Bios=A
Geog=D
Eng=C
Kisw=B
Hist=A
Civ=C...
Licha ya serikali kuendelea na jitihada za kupunguza tatizo la uhaba wa walimu katika shule za msingi, bado walimu waliopo katika baadhi ya shule za msingi wanalazimika kufundisha masomo ambayo...
Hello dear natumaini hamjambo naomba kwa anayefahamu shule ambayo unaweza kusoma five na six kama mwanafunzi na kufanya mitihani Kama PC kwa MKOA wa mwanza (EGM)
Matokeo NECTA IV 2015
S1065/0049...
Mkopo niliopata kutoka HESLB ni kama ilivyo hapo kwenye Screenshot:
Swali langu nataka kujua hapo kwenye SFR kwa Mechanical Engineering UDSM kuna mzigo natakiwa niongezee? make wengi wa...
Mimi nilikuwa mmoja wapo katika majina raundi ya pili ya walio kuwa na multiple selection..Na nikaamua kuconfirm katika chuo cha udom!! Lakini mpaka sasa sijaona mrejesho wowote kutoka kwao..au...
Habari zenu ndugu zangu.
Kuna chuo kimoja cha private(jina kapuni) kimetoa barua ya admission ambapo katika barua hiyo kuna Maelezo ya ada inayotakiwa ilipwe. Lakini pia kuna ambacho wanakiita...
Shule yafungwa kwa kukosa walimu
2007-10-26 09:23:56
Na Mohab Dominick, Maswa
Shule ya sekondari ya Binza ya wilayani Maswa Mkoani Shinyanga imefungwa kwa muda kutokana na kukumbwa na...
habari wana JF,
Husika na kichwa hapo juu,mimi ni kijana wa makamo,mtanzania mwenzenu ninaehitaji msaada wa kielimu.
Kwa kufupisha maelezo,baada ya kupata matokeo yasiyoridhisha form6 ya daraja la...
Mimi nimelipia gharama nyingine Za udom
Direct cost Na udoso fee Na quality assurance
Vipi naweza kupokelewa ??
Sijalipia Ada (Tuition fee)
Naomba msaada
Salaam wana JF!
Kumekuwepo na juhudi za serikali ya awamu ya 5 kuzifanyia shule kongwe(mkoloni) za serikali, hakika shule zinapendeza kweli kweli kuanzia Madarasa, Maabara, Maktaba, Mabweni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.