Msaada kuhusu 'Special Faculty Requirement' fee inayotolewa na HESLB

Msaada kuhusu 'Special Faculty Requirement' fee inayotolewa na HESLB

Aen Urner

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
388
Reaction score
380
Screenshot_20171018-160338.png
Screenshot_20171018-160338.png Mkopo niliopata kutoka HESLB ni kama ilivyo hapo kwenye Screenshot:
Swali langu nataka kujua hapo kwenye SFR kwa Mechanical Engineering UDSM kuna mzigo natakiwa niongezee? make wengi wa Engineering waliopata mkopo wamepewa 300,000/= Kwenye SFR wajuvi naombeni kujuzwa katika hili!
 
Hapana.
Hiyo ni hela maalum kwa kozi unayosoma wewe.

Inatofautiana kulingana na kozi, wengine wanapata zaidi ya hapo na wengine chini ya hapo.
 
Hiyo ni kula mkuu, unapewa wewe.

Ni kwa ajili ya matumizi madogo madogo ya kozi yako.

Huwa inaliwa tu hiyo, ni tamu sana mkuu.

Kila la kheri
Hahah mkuu! Sawa nimekusoma!!!
 
Hiyo unapewa kulingana na Coarse unayosoma ila kwa Geologist wanakula 171,000/=...ila nimeshangaa hela field mbona umepewa ndogo au ndo kwa usawa wa MAGU....kwa kawaida pesa ya Field ni 620,000/=
 
Mbona Udsm umeiweka kwa herufi kubwa?
 
Iyo pesa ya special faculty, ni yako. Ni kama ahsante au Hongera kwa kuchaguliw faculty fulan na nnazan inatolew kulingana na kipaumbele cha koz husika. Maana kun koz hawa ipat kabisa.
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] huyo ni art tena sio special fucult wala nini na amepata hivyo wewe iweje wakupe hivyo
 
Kuna baadhi ya kozi zina mahitaji maalum tofauti na kozi nyingine

Mfano drawing boards kwa engineering students, safety cloths ,lab coats

Kwa afya kuna yale mastethoscope, thermometers,sphygmomanometer,etc etc

Kumbe M and A ni pesa ya kula tu hivyo unapewa SFR ili uweze kumudu na ipo kila mwaka kwa viwango tofauti tofauti
 
2b114498f9ce51a295aacc40e7872f92.jpg



FPT nimepewa 190000 badala ya 620000. Daaah mwaka huuh mmmmh
 
Mshukuru Mungu umepata boom
Boom ndio muhimu zaidi hayo mengine unaweza kujiongeza kutokana na boom endapo utakua makini



Ni kwer unachokisema.... Hata hivyo chuo nacho kwenda (mwecau),hostel zmeshaisha. Hvyo mahtaj makubwa
 
Back
Top Bottom