Mwanza ni moja ya mikoa michache Tanzania iliyo na vibe la aina yake,kuna watu huvutiwa na mkoa huu kwa kuishi, kusoma ama kufanya kazi,kwa wale wanaotafuta vyuo mkoa wa mwanza hii hapa orodha ya...
Waliopewa dhamana ya kupanga ajira mpya wametumia nafasi zao vibaya. Walimu wamepangiwa vituo hadi halmashauri za miji, manispaa na majiji ambapo walimu wamejaa hadi wanagawana topics. Mfano ni...
Wakuu I was in a high school in Kibaha Secondary School miaka ya nyuma kidogo.
Sasa There was this teacher, Mr. John.
Huyu Ticha He was a big guy and used to beat the living crap out of boys...
Job simplification also know as work simplification is a method of designing a job where complex jobs are broken down into smaller parts to make them easer to manage. On other hand, the process of...
1: Barabara Mbovu na Mashimo Yasiyozibwa
Mara tu unapoingia kupitia geti kuu la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pale mwanzo kabisa,(njia panda ya chuo) hali ya barabara sio nzuri sana . Barabara ina...
Habari zenu,
Naomba mnijuze ukomo wa kusoma masters katika vyuo huria.
Nauliza maana ni miaka karibu sita sasa shemeji yenu anasoma tu hiyo elimu. Vikwazo vimekuwa vingi mno masters haiishi...
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu...
UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU!
Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende...
Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam,dr ndibalema amefariki jana usiku,dr ndibalema alikua akifundisha EDUCATION ADMINISTRATION AND MANAGEMENT (EA), Pia alikua...
Wale Mnao sema Mtiani ulikua rahisi sana ila Sijui imekuaje 😅. Leo nikuonjeshe kitu
The Psychology of Simple Questions in Aptitude Tests
When a question appears simple, it can trigger...
Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri...
Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa...
Watoto wa shule (wanafunzi) wa sikuhizi wataumwa migongo. Unamkuta mtoto mdogo wa shule wa miaka kati ya 5 - 7 amebeba begi kubwa utafikiri anahamia shuleni moja kwa moja.
Ukifuatilia utagundua...
Habari Wana jamvi, tunashukuru Mungu kwa kuamka salama na kwa wale wenye changamoto mbalimbali tunawaombea kwa Mungu awape wepesi kuvuka kipind hiko kigumu,
Back to my topic.
Kuna nafasi 8000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.