CWT hamna uwezo wa kutetea walimu

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
*CWT hawana uwezo wa kutetea walimu kamwe*

*Na commred Chichimizi*



CWT.....ni zao la muajiri mfumo wa trade unions Tanzania ulianzia serikalini ndo maana hata kudai uhuru ulishiriki hivyo cwt ni tawi la muajiri tu kinachofanyika ni unafiki wa kawaida tu wanajua wanachokifanya, angalio nao wanalalamika wamegeuka maafisa habari wa walimu kuna umuhimu gani wa kutoa taarifa badala ya kushughulikia ndo waseme wamefikia wap! Wanachama wavumilie tu kwa sababu hakuna namna wanachukua hela for nothing its better kila mwalimu angejijitetea mwenyewe kuliko kinachofanyika wanachojua ni kuwabeba walimu kwenda kwenye mikutano yenye interest ya muajiri na tena bila hata kufuata taratibu za kiutumishi kiufupi cwt waendelee tu kula hela coz wana nguvu ya kisheria but wasituhadae kwamba kuna kitu wanafanya wapo kutetea hali zao basi watuache tutetee za kwetu ....

Commred Chichimizi
 
Back
Top Bottom