Halmashauri ya Muleba wapeni walimu wapya hela zao za kujikimu

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
236
175
Hivi ni kwanini kuna utaratibu tofauti kati ya halmashauri moja na nyingne katk utoaji wa hela za kujikimu kwa watumishi (waalimu wa sayansi) walioajiriwa Mwaka huu?

Kuna ambao walipewa hzo pesa mara tu baada ya kuripoti kazini yaani mshahara wao wa kwanza na pesa zao za kujikimu zikajazwa humo. Kuna wengn wa halmashauri zingne waliingziwa hela hzo baada ya miezi mitatu bila hata ya kuambiwa wafanye chochote.

SASA HII YA HALMASHAURI YA MULEBA kuwaambia watumishi waandike barua za kuomba hizo hela ndio utaratibu AU wanatafuta ambao hawatoandika ili hzo pesa wazitafune wenyewe?

HALMASHAURI YA MULEBA WAPENI WATUMISHI HELA ZAO. Wakiondoka mnabaki mnalia lia upungufu wa walimu wa sayansi wakati ninyi wenyewe ndio mnawawekea wakati mgumu.

Tangu waajiriwe Mwezi wa 4 mpaka leo mwaka unaisha watumishi wa MULEBA hawajapewa hela zao.

Wahusika litazameni hili.
 
Bro the same case to sengerema, misungwi, maswa, na baadhi ya wilaya nyingi sijui shida yao n nn?
 
Back
Top Bottom