Mwalimu wa kubadilishana kituo

Mwalimu wa kubadilishana kituo

BrJem

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
16
Reaction score
6
Mimi ni mwalimu nipo kigoma Kalenge Secondary nafundisha somo la kiingereza naomba kama kuna mwalimu yupo songea anataka kuja kigoma tuwasiliane kwa namba 0756292041
 
Back
Top Bottom