Sponsorship ya PhD ya OUT inapatikanaje?

Mwalimu Ntuntu

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
305
279
Husikeni na somo tajwa! Naomba kujua namna ya kupata sponsorship ya Chuo kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ngazi ya Shahada ya Uzamivu katika Elimu. Natamani kufikia lengo hili lakini uwezo wa kifedha ni changamoto kubwa kwangu! Nisaidie kujua namna ya kupata udhamini na kama yupo aliyewahi kupata udhamini ktk ngazi hii, Itapendeza zaidi......

Msaada wenu kwenye tuta!
 
Back
Top Bottom