Habari. Kama kuna mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya hadithi za watoto au mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya mila na desturi ya makabila ya Tanzania au mwandishi wa vitabu vya kiingereza...
Nina mtoto wa kaka yangu amemaliza form four anataka asomee awe nurse wa hospitali. Naomben mnitajie list ya vyuo na mahala vilipo ndani au nje ya Dar es salaam
Wakuu nilitegemea kuuona mkoa wa Dar kwenye kumi bora ya mikoa iliyofanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne hasa sifa ninazozisikia za mkuu wao wa mkoa almaarufu kama bashite kuwa ameanza...
Kama wewe umewahi kukumbwa na tatizo hili,bila shaka utakuwa unanielewa,lakn pia yawezekana umewahi kusikia au kuona kwa wengine,,kuna masomo mahususi ambayo ukifeli,hata kama ulikuwa na Division...
Taifa lisilo na wasomi ni taifa mfu!
Nawashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuangalia uwezekano wa kukopa pesa benki ili waweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wanaostahili ikiwa pesa walizo...
Habari zenu wakuu
Naomba kujuzwa namna ya kuomba nafasi na muda wa usajili kwenye vyuo vya kilimo na mifugo MATI)
Mdogo wenu anataka kwenda kusoma huko
Naomba kuwasilisha
Wakuu habari za saiz,polen na majukumu
Kama kichwa kilivyojieleza me ni nurse ngazi ya certificate ila ninataka kubadili nisome diploma ya clinical officer..
Matokeo yangu ya kidato cha nne...
Plz naomba msaada,
Nani anafanya uteuzi wa Mwalimu mkuu (Primary level) na Mkuu wa Shule (Secondary Level) kwa shule za serikali.
Plz naomba msaada wenu wakuu!
Wana JF habar zenu.
Kwa umuhimu wa hii certification ilivyo na uzito wake pia, hakuna budi tukutane hapa kupeana mawazo, njia, mikakati, ili ambao wamedhamiria kusoma na ku-certify waweze.
Mwaga...
Wadau natumai mnaliendeleza vema gurudumu la elimu. Naomba kwa aliye na mtaala (syllabus) ya somo la dini kwa shule za sekondari anisaidie.
Nimejaribu kutafuta kwenye taasisi ya elimu bila...
Hello guys
Kwa wale mliopitia majengo mnafahamu wastani wa pale ni 41% ili kuendelea na kidato lakini kuufikisha si kazi rahisi, na wanafunzi wanaopata wastani wa 81% kwa masomo yote hawalipi ada...
Habari zenu JF
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anasoma uganda sasa alikuwa anaulizia kuhusu swala la uhamisho aje bongo na hii ni kutokana na wazazi wake kupata matatizo akiwa mwaka wa 3 mwanzoni...
Bwana mmoja alikwenda kutembea ukweni kwake. Alipokelewa kwa upendo baada ya chakula cha usiku alipewa chumba cha kulala. Ilipofika usiku wa manane alitoka kwenda kujisaidia. Taa zimezimwa na...