Nina certificate ya nursing, naweza kupata nafasi ya chuo cha serikali kusoma clinical officer?

Emmilian paul

Senior Member
Oct 17, 2015
139
61
Wakuu habari za saiz,polen na majukumu
Kama kichwa kilivyojieleza me ni nurse ngazi ya certificate ila ninataka kubadili nisome diploma ya clinical officer..
Matokeo yangu ya kidato cha nne yalikuwa
C_biology
D-chemisty
D_physics
Na matokeo ya nursing yalikuwa 4.5 GPA
Je kwa sifa hizo ninaweza kupata nafasi ya chuo upande wa serikali?
 
Jaribu.. Uone result yake... But nahis udahili umeshafungwa mwaka huu na NACTE
 
Tatizo wizara ya Afya haisomeki.. Mwakan unaweza kukuta sifa zimepandshwa zaid...
 
Wakuu habari za saiz,polen na majukumu
Kama kichwa kilivyojieleza me ni nurse ngazi ya certificate ila ninataka kubadili nisome diploma ya clinical officer..
Matokeo yangu ya kidato cha nne yalikuwa
C_biology
D-chemisty
D_physics
Na matokeo ya nursing yalikuwa 4.5 GPA
Je kwa sifa hizo ninaweza kupata nafasi ya chuo upande wa serikali?
Kwann usisome diploma ya nursing tu maana clinical officer hata assistant yake huwez kupata maana qualifications za CA ni D flat kwenye physics chemistry biology English na math
 
Wakuu habari za saiz,polen na majukumu
Kama kichwa kilivyojieleza me ni nurse ngazi ya certificate ila ninataka kubadili nisome diploma ya clinical officer..
Matokeo yangu ya kidato cha nne yalikuwa
C_biology
D-chemisty
D_physics
Na matokeo ya nursing yalikuwa 4.5 GPA
Je kwa sifa hizo ninaweza kupata nafasi ya chuo upande wa serikali?
Hayo masomo yote ya science unatakiwa na C na hesabu D ndio unafiti kwa course ya Co
 
Back
Top Bottom