ulikosa Kabisa, Chaka bovuNi swali tu niliulizwa nkajibu bt nimepata challenges nying nkaona nilete kwenu wakuu nipate uhakika..!
Samahan,naomba kirefu cha RAC na je huyo anapatikana ofisi gani?Mkuu wa shule au mwalimu mkuu huteuliwa na RAC na sio afisa elimu Wala mkurugenzi.
Barua inatoka kwa RAC Ila afisa elimu ana kazi ya kuwaongoza tu kwakuwa yeye ndio mkuu idara ya elimu.
Wanaokusapoti wanakupotosha maana hata wao hawajui
Ila Afisa Elimu ana mchango mkubwa katika uteuzi wa hiyo nafasi. Katibu tawala mkoa( RAS) ufanya kupitisha tu wala ahangaiki kumjua huyo mtu pendekezwa.Mkuu wa shule au mwalimu mkuu huteuliwa na RAC na sio afisa elimu Wala mkurugenzi.
Barua inatoka kwa RAC Ila afisa elimu ana kazi ya kuwaongoza tu kwakuwa yeye ndio mkuu idara ya elimu.
Wanaokusapoti wanakupotosha maana hata wao hawajui
Sahihi mkuu, majina hupendezwa na afisa elimu, katibu tawala huchambua na kuteua Mtu sahihi kutoka miongoni mwa waliopendezwaIla Afisa Elimu ana mchango mkubwa katika uteuzi wa hiyo nafasi. Katibu tawala mkoa( RAS) ufanya kupitisha tu wala ahangaiki kumjua huyo mtu pendekezwa.
So ulipoandika RAC ulimaanisha KATIBU TAWALA?Sahihi mkuu, majina hupendezwa na afisa elimu, katibu tawala huchambua na kuteua Mtu sahihi kutoka miongoni mwa waliopendezwa
Ni RAS (Regional Administrative Secretary), sio RACSo ulipoandika RAC ulimaanisha KATIBU TAWALA?
Inatakiwa hivyo ila sivyo inavyofanywa mkuu. Jina linapelekwa moja na kupitishwa ndo maana wakuu wa mashule walimu wakuu makanjanja wamekuwa wengi. Ukiwa na laki tano yako cheo ni nje nje.Pendekezo ni tofauti na teuzi. Wanapendekezwa wengi huteuliwa mmoja
Mara nyingi hukuta kuwa Mkuu wa Shule au Mwalimu mkuu, huteuliwa na kupangwa mostly so mbali na eneo alokuwa anafanya awali,, So hapo RAC au REO anajuaje kuwa anafaa wakati? Na nani anampa majina?Mkuu WA shule au mwalimu mkuu huteuliwa na RAC na sio afisa elimu Wala mkurugenzi.
Barua inatoka Kwa RAC Ila afisa elimu ana kazi ya kuwaongoza tu kwakuwa yeye ndio mkuu idara ya elimu.
Wanaokusapoti wanakupotosha maana hata wao hawajui
Nihonge niwe Mkuu wa SHULE?Inatakiwa hivyo ila sivyo inavyofanywa mkuu. Jina linapelekwa moja na kupitishwa ndo maana wakuu wa mashule walimu wakuu makanjanja wamekuwa wengi. Ukiwa na laki tano yako cheo ni nje nje.
Yeah,kuna laki mbili au mbili na nusu kama posho ya madaraka.Nihonge niwe Mkuu wa SHULE?
Labda kwa zile zama ambazo HAKUKUWA NA ELIMU BURE walikuwa wakila hela,kwa sasa wakuu wana dhiki sana.Yeah,kuna laki mbili au mbili na nusu kama posho ya madaraka.