Wadau natumai mnaliendeleza vema gurudumu la elimu. Naomba kwa aliye na mtaala (syllabus) ya somo la dini kwa shule za sekondari anisaidie.
Nimejaribu kutafuta kwenye taasisi ya elimu bila mafanikio. Aidha kwenye bookshop ya Lutheran sikufanikiwa.
Msaada tafadhali.
Nimejaribu kutafuta kwenye taasisi ya elimu bila mafanikio. Aidha kwenye bookshop ya Lutheran sikufanikiwa.
Msaada tafadhali.