Matokeo kidato cha nne Dar es salaam hata kumi bora haipo!

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Wakuu nilitegemea kuuona mkoa wa Dar kwenye kumi bora ya mikoa iliyofanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne hasa sifa ninazozisikia za mkuu wao wa mkoa almaarufu kama bashite kuwa ameanza kulivalia njuga swala la elimu.

Lakini imenistua hata kumi bora sijauona huo mkoa ambao mkuu wake ni rafiki mkubwa wa rais wa nchi.

Nini kinaendelea huko Dar jamani
 
8e24fe9fc2e6ba270cc446c69adca9d4.jpg
 
Back
Top Bottom