CISA 2018, tukutane hapa. Strategies and plans for successful certification this year

CISA 2018, tukutane hapa. Strategies and plans for successful certification this year

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Wana JF habar zenu.

Kwa umuhimu wa hii certification ilivyo na uzito wake pia, hakuna budi tukutane hapa kupeana mawazo, njia, mikakati, ili ambao wamedhamiria kusoma na ku-certify waweze.

Mwaga mawazo yako katika ili kufanikisha mchakato huu muhimu na wenye tija kwa wote. Naamini katika hili wapo ambao wako serious na ambao wasaniii.

Karibuni.....
 
hi wadau ina gharama kiasi gani kusoma hii certification
 
Wadau inawezekana kusoma ukiwa mbali na review classes..veep kuhusu materials ?
 
Back
Top Bottom