Matokeo haya, naweza kwenda advance?

Matokeo haya, naweza kwenda advance?

Joined
Jan 21, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Nimepta C hist, C kisw, C eng na D geo mwaka huu. Mwakajn nimepata C kisw, C din, D geo, D hist na D geo
Je? Nawez kwend advance
 
Nimepta C hist, C kisw, C eng na D geo mwaka huu. Mwakajn nimepata C kisw, C din, D geo, D hist na D geo
Je? Nawez kwend advance

C C C D ( 2017 / 2018 ) na C C D D ( 2016 / 2017 ) Kitaaluma nikiwa kama mwana Taaluma pia unaonekana una ' Ufaulu ' wa tabu kama siyo wa shida japo unaonyesha unapenda mno kwenda Advanced Level hivyo ushauri wangu Kwako naomba kuliko kutaka kulazimisha kwenda A level tafadhali angalia uwezekano wa Kujiunga na Vyuo vya Ufundi au Vya Kozi zingine ambazo naamini huko unaweza kupata mafanikio zaidi. Kwa hizo marks zako nisikudanganye ukienda Advanced Level hautofanya vyema na ndiyo utafeli vibaya sana.

Kuna tofauti kubwa kati ya:

  1. Mhudhuriaji Shule
  2. Msomi Vuguvugu
  3. Msomi Mwerevu
Kwa aina ya marks zako Kijana Wewe unaangukia hapo katika Kundi la Mhudhuriaji Shule hivyo tafakari kwa Kina mno.
 
kwenda adv private lazima uwe na C 3 bila kujalisha ni za somo gani isipokua masomo ya dini,hivyo unaweza kwenda advance bila shida kabisa,ila kwenda chuo nadhani ni uamuzi mzuri zaidi
 
Anaweza chaguliwa mkuu?
anaweza bt inadepend na ufaulu wa mwaka huu na nafasi zilizopo katika combination alizochagua na ufaulu wa wanafunzi wengine huwa tunashauri asubiri kuchaguliwa lakini akiwa ameshajiandaa na kutafuta private nzuri atayoweza kumudu,ili akikosa government asikwame
 
Back
Top Bottom