Waandishi wa vitabu wanatakiwa

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari. Kama kuna mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya hadithi za watoto au mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya mila na desturi ya makabila ya Tanzania au mwandishi wa vitabu vya kiingereza vya wanyama, ndege na mimea ya Tanzania au Africa Mashariki naomba tuwasiliane kwa WhatsApp au SMS. Natafuta vitabu vya kuvitafsiri katika lugha ya Kijerumani na kuvifanyia publishing na kuviuza nje na kugawana royalties (mrabaha) na mwandishi. Hakuna gharama kwa upande wa mwandishi. Simu 0768734611
 
Back
Top Bottom