Viongozi nilikuwa naulizia centre makini kwa form 5,6 one year please naombeni ideas zenu wakuu.

Kama upo dar, unataka kusoma HKL /HGL Nenda hekima upland academic center ada kwa mwezi ni 30,000 nmesoma hapo miaka michache iliyopita ndo nilipofanikishia ndoto yangu ya kufika chuo kikuu
 
Thnks mkuu kipo maeneo ya wapi hii center mkuu in Dar
 
Kama upo dar, unataka kusoma HKL /HGL Nenda hekima upland academic center ada kwa mwezi ni 30,000 nmesoma hapo miaka michache iliyopita ndo nilipofanikishia ndoto yangu ya kufika chuo kikuu
Hii hekima upland academic center mkuu kipo maeneo gani?
 
Dar, nenda Ukonga, Mzambarauni panaitwa Talented Brothers Academy, Hapa utakutana na mchawi wa History ukonga nzima anaitwa Chris, HkL mwaka jana wamefaulu center nzima kwa 1 ,na ,2
 
Back
Top Bottom