aloyce1982
Member
- Jan 14, 2011
- 7
- 0
Wadau naomba kufahamu gharama za ada zinazotozwa na shule ya msingi/ sekondari Tusiime kwa anayejua (day&boarding).
Watanzania tuna tatizo gani mbona kaeleza anataka kujua msingi / sekondari au na hapo tukutafsirie?Pale kuna level ya chekechea hadi form six sasa unaulizia level ipi mkuu