Naomba kujua kama Usajili wa Vyuo umeanza kama NACTE nk.

knock knock

JF-Expert Member
Mar 8, 2018
326
384
Wadau wa forum hii heshima kwenu.

Naomba kujua kama Usajili wa vyuo umeanza rasmi kwa mwaka huu 2018/19 kwa NACTE ama labda kama kuna linki ya za vyuo mbali mbali ambavyo vimeanza tofauti na NACTE.

Zaidi kwa course mbali mbali za Diploma kwa wale wanafunzi waliomaliza O Level lakini wakawa na sifa za kuomba Diploma.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom