Natafuta pa kusoma programming courses

Natafuta pa kusoma programming courses

Mkakatika

Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
52
Reaction score
8
Wanajamvi Salaam. Ninaomba jujuzwa mtaalam wa Java au any other programimming language anayetoa tutorials. Please let me know.
 
Tutorial zipo tumetoa sana matangazo huku kulikuwa na waliojitolea lakini watu wagumu kama upo serious nitafute nikusaidie au tafuta post nilioweka kuhusu programming
 
walio serious tu nitafuteni kuna kundi tunalo na website live chat utafundishwa na kuelewa tulitoa bure mwanzo watu walikuwa wengi wakaharibu kundi tunataka wachache committed
 
Mkuu Richards natamani sana kujua hii kitu, tupe mwongozo kamili tuko serious.
 
Wanajamvi Salaam. Ninaomba jujuzwa mtaalam wa Java au any other programimming language anayetoa tutorials. Please let me know.
Nenda youtube mkuu, search java tutorials... Utakuta za kutosha!!
 
Ninda pirate bays,search,..kuna course kibao za programming,..full courses.
 
walio serious tu nitafuteni kuna kundi tunalo na website live chat utafundishwa na kuelewa tulitoa bure mwanzo watu walikuwa wengi wakaharibu kundi tunataka wachache committed
Niunge na mm mkuu bac kama lipo 0753210177
 
Mim nafundisha Aspx(kwa c#, java script, Ajax css) na upande wa database ni ya Microsoft (SQL). Php sifanyi
 
Siku hizi unaweza kujisomea chochote ili mradi ukiwa serious. Mambo yote yapo mtandaoni
 
Mm nataka kusoma java na php
programming language kama java ni pana sana. wewe unataka kusoma java kwa lengo gani ? ili utafute kazi , unaongeza ujuzi tu au ? cheti ni muhimu kwako ? unajua programming language gani nyingine ?
 
Nenda youtube mkuu, search java tutorials... Utakuta za kutosha!!
Hii tabia wabongo tuipunguze hum mtu akiomba msaada wa kujifunza kitu flani meshakalili tuu nenda YouTube au nenda google, hiv mpaka yeye ameandika uzi hum inamaana google au YouTube haijui, na pia hizo tutorials za youtube sio zote zinaeleweka ni chache sana ambazo utaelewa, na tatzo lingine lugha ilunakuta tutor mwenyew lafudh yake haielewek, So mtu anapoandaa uzi hum wa kuomba msaada wa kitu flan kutoka kwa watanzania wrnzake ww unakurupuka tuu nenda YouTube, tulia kama huwez kumsaidia hii kasumba mbaya sana.
 
Siku hizi unaweza kujisomea chochote ili mradi ukiwa serious. Mambo yote yapo mtandaoni
Kungekua hakuna maana ya kufungua shule na vyuo, tutumieni akili vizuri tusikalili kila kitu mtandaon, kama hujui jinsi ya kumsaidia kaa kimya maana unaposema kila kitu mtandaon yeye usikute amejaribu imekua ngum ndomaana kashindwa, au hao wanaotoa tutorials mtandaon unadhan nao walijua mtandaon, walisoma kwanza vyuon ndo wakajua wakaanza kufundisha mtandaon. Huu ujinga tuuache wa kila kitu unamwambia mtu mtandaon ni wangapi tanzania wanagraduate mitandaon? wachache sana ndomaaba kukawa na vyuo au watu binafsi wanaotoa mafunzo ya vitu flani, sasa mwenzetu anatafuta mafunzo ya Programming unakurupuka tuu nenda mtandaon, hii kitu sio nzurii
 
Wewe nyumbu, mwache ajibu yeye. Mimi nasoma programming mtandaoni pia. Nishamaliza html, css, JS. Acha ushamba maarifa yaliyopo mtandaoni hata baadhi ya vyuo nchini huwezi kupata.
 
Wewe nyumbu, mwache ajibu yeye. Mimi nasoma programming mtandaoni pia. Nishamaliza html, css, JS. Acha ushamba maarifa yaliyopo mtandaoni hata baadhi ya vyuo nchini huwezi kupata.
Huo unyumbu unao wew jombaa kama ww umesoma sio wote waache wengine waelekezane hizo mitandao zako soma tuu ila sio wote watasoma wengine, boya kweli wewe unaishi kwa kukalili hizo programming mm mwenyewe nimesoma mtandaoni lakin pia nimewacheki maexpert wamenielekeza vitu vingine ambavyo huko mtandaon sikuvielewa, Huo ushamba unao wewe ambaye unadhani kila kitu ni mtandao wakati hata hao walioweka mtandao walisoma kwanza kwa waalimu wakafanya practice ndo wakaanza kutengeneza content, au unadhan waliingia youtube tuu wakajua, nanga wewe
 
Pimbi wewe, hujui usemalo. Watu wamejifunza mitandaoni na wamekuwa watu waliofanikiwa sembuse wewe unayebeza? Labda hiyo lugha Ndiyo inayokusumbua. Bado unaweza kusoma mitandaoni na kufanya mazoezi
 
Back
Top Bottom