"Kama we ndo wa kwanza kusoma physics kwenu achana nayo tu fanya mambo mengine "[emoji3][emoji3] huo ulikua utani wa ticha wetu wa phys advance alikua anapenda sana hiyo kauli, kiukweli physics haipendi ujinga.
Soma uielewe na uikariri kiasi fulani NB:Usikariri formulas jitahidi ujue kuziderive zote ila uwe unajua unapoelekea(na hapo ndo ile part yetu ya kukariri sasa), maana kuna maswali data za formula ya mwisho unakuta hamna linaishia huko juu kwa juu , pia usolve maswali mengi sana maana yapo ambayo kama hujawahi kuona ya aina yake huchomoi, kingine jitrain kupata speed+accuracy
Komaa sana ndugu yangu physics iko pale kupunguza idadi ya watu wa kupewa boom.