Msaada tafadhari kuhusu hii shule

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,162
21,296
Wanajukwaa samahani kwa usumbufu

Nilikuwa naomba msaada kwa anaeijua hii shule,,
kama kuna mwanafunzi anayesoma, au kuna mwalimu anaefundisha hii shule IGALULA SEC SCHOOL, ipoo Tabora, Uyui

Naomba kujua kama ina advance, mazingira yote kwa ujumla, huduma za kijamii, na mambo mengine kuhusu hii shule
 
Back
Top Bottom