Mashine Efd

Mashine Efd

in no

Member
Joined
May 7, 2018
Posts
6
Reaction score
5
Habar zenu wadau.. Hv hiz mashine za efd znatolew bure kama nnavoskia au znanunuliwa..? Na kama znauzwa bei ya chini kabisa n shingapi na nini umuhimu wake katika ulipaji wa kodi..?
 
Hili jukwaa nahisi sio mahala pake.

Ilistahili kwny jukwaa LA Biashara
 
Back
Top Bottom