professional skeptism
Member
- Apr 10, 2017
- 25
- 18
Watu wengi ni wavivu wakusoma vitabu, je ni namna gani mtu anaweza kujenga tabia ya kujisomea vitabu na kuongeza maarifa

Ndio mkuuHilo neno professional skeptism umelitoa kwenye AUDITING sio mkuu wangu?
Lakini kuna mtu utakuta anafanya maamuzi afu anashindwa kuendelea kujisomeaIn maamuzi tu.. Ya kuamua kusoma..