Tutatue hii chemsha bongo

Tutatue hii chemsha bongo

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,460
Reaction score
1,476
Nisaidieni Jibu Tafadhali, Naamini Humu Hamtashindwa
IMG-20180515-WA0007.jpg
 
28[emoji818][emoji817]
Saa ni 2 jumlisha ndizi moja jumlisha ndizi moja, jibu ni nne, mara keki ambayo ina nukta 7.
[emoji638] [emoji809] [emoji637] [emoji809] [emoji637] [emoji808] [emoji643] =[emoji638] [emoji644] [emoji818] [emoji817]
 
Nitake radhi mkuu. Nimesoma pure mathematics nishindwe kachemsha bongo kadogo hivi???
A sio sawa na B, hvyo hauwez kuchukua namba ya A na ukaenda kuitumia katka B ili upate jbu

Hyo chemsha bongo haina jbu
IMG_20180515_153353.jpg
 
14.

10+10+10=30
2+2+10=14
2+3+3=8
3+1+(1x10)=14

sawa sio sawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom