Tukumbuke enzi za 'debate' na 'morning speech' tulipokuwa shuleni

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Wana JF wenzangu,

Tukumbushane enzi zile tulizokuwa shule za secondary kile kipindi cha debate na morning talk (speech).Bila kusahau motion mbali mbali zilizokuwa maarufu enzi tupo shule.

Mfano;

Education is better than money.
Monopartism is better than Multipartism

Na nyingine nyingi.

Changamoto na kipi kulikuwa kinaboa pamoja na njia ipi ulikuwa unatumia kukwepa au kushiriki ukiwa member siku hiyo.
 
Monopartism is better than multipartism...nadhani ulitaka kumaanisha hivi katika moja ya mifano uliyoweka.
 
nilisimama mbele natoa bonge la morning speech nikasifiwa na walimu jinsi nilivyopendeza nipo kat kat ya speech ukaja upepo tai ikapeperushwa kumbe shati lina kifungo kimoja tumbo lote nje, ndan kaboka nchiz( si unajua ukivaa kaptula ndani inapanda juu kuizd ya nje) kanaonekana, paled nzima hoi mpk walimu, nilichomoka kwa wenge baadala ya kuingia hata darasan nikaingia jikon nako nikakanyaga figa sufuria la uji bwaaaa, huko nako nikaacha wapish hoi nikakimbilia chooni, nashukuru sikuingia cha kike(ila ilibakia kdg tu) mana ingekua kali ya mwaka.
 
nilisimama mbele natoa bonge la morning speech nikasifiwa na walimu jinsi nilivyopendeza nipo kat kat ya speech ukaja upepo tai ikapeperushwa kumbe shati lina kifungo kimoja tumbo lote nje, ndan kaboka nchiz( si unajua ukivaa kaptula ndani inapanda juu kuizd ya nje) kanaonekana, paled nzima hoi mpk walimu, nilichomoka baada ya kuingia hata darasan nikaingia jikom mwishowe niangukie sufuria la uji.

Ni vichekesho lakini mzee baba uliua Kinyamaaaaaaaaaa.
 
Wana JF wenzangu,

Tukumbushane enzi zile tulizokuwa shule za secondary kile kipindi cha debate na morning talk (speech).Bila kusahau motion mbali mbali zilizokuwa maarufu enzi tupo shule.

Mfano;

Education is better than money.
Monopartism is better than Multipartism

Na nyingine nyingi.

Changamoto na kipi kulikuwa kinaboa pamoja na njia ipi ulikuwa unatumia kukwepa au kushiriki ukiwa member siku hiyo.
Aisee nilikua naruka ukuta kama sio kujiuguza
 
Debates na M. speech nilikua napenda kusikiliza Errors tu..
most of eraz nilizowah sikia ni..
  • Mmoja alisema "Characteristic ya Ground photography it show One only single. akimaanisha it show one side view
  • mwingine et " Types of Tourism are Animal tourism and Movement tourism
  • mwingine eti "Micro organism is smallest deseas
 
nilisimama mbele natoa bonge la morning speech nikasifiwa na walimu jinsi nilivyopendeza nipo kat kat ya speech ukaja upepo tai ikapeperushwa kumbe shati lina kifungo kimoja tumbo lote nje, ndan kaboka nchiz( si unajua ukivaa kaptula ndani inapanda juu kuizd ya nje) kanaonekana, paled nzima hoi mpk walimu, nilichomoka kwa wenge baadala ya kuingia hata darasan nikaingia jikon nako nikakanyaga figa sufuria la uji bwaaaa, huko nako nikaacha wapish hoi nikakimbilia chooni, nashukuru sikuingia cha kike(ila ilibakia kdg tu) mana ingekua kali ya mwaka.
IMG_20180516_195005_780.jpg
 
chai
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom